Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

ukishawajua ndio nini:coffee:tujuzeni jamani alikuwa nani na alifanya nini katika historia ya nchi yetu.

We shosti marufuku kuingia kwenye jukwaa la wakubwa tena kumbe hakielimu wewe unaweza kufanya mtu akapewa kesi ya ubakaji
 
Wakuu Heshima Mbele!

Kwa wale mnaomkumbuka - huyu mama na bwana wake Toroha Mohamed Toroha Waliishia wapi? Kwa wale wasiokumbuka huyu ndio mwanamke wa kwanza na wa pekee kufanya wizi mkubwa sana katika benki ya Taifa ya Biashara NBC Tanzania back in the 1980's (Wizi kutumia bank fraud).

Baada ya kuiba hizo hela alikimbilia Mombasa Kenya alikoenda kukamatwa nyumbani kwa boyfriend wake Toroha Mohamed Toroha. Wote waliletwa Tanzania na kuhukumiwa vifungo.
 
Du mwanangu umenikumbusha hii kesi ambayo ilitupa taabu wanasheria wakati ule! Nadhani hawa jamaa sasa watakuwa makapuku waliotumiwa na wajanja waliotaka kukwepa nyavu za mwalimu ambaye hakuwa na mchezo na mafisadi by then tofauti na sasa wanaopabudiwa.
 
Sara na Toroha Kwishney!

Topiki hii ilikwisha jadiliwa hapa miaka ya nyuma; wewe search "Simbaulanga" search utaipata.

Namkumbuka yule mama alipoingia mahakamni akiwa amevalia kama malkia!
 
Du mwanangu umenikumbusha hii kesi ambayo ilitupa taabu wanasheria wakati ule! Nadhani hawa jamaa sasa watakuwa makapuku waliotumiwa na wajanja waliotaka kukwepa nyavu za mwalimu ambaye hakuwa na mchezo na mafisadi by then tofauti na sasa wanaopabudiwa.

Hahaha! Aisee wakati ule wa Nyerere hii ilikuwa major issue mpaka Ikulu ilikuwa inafuatilia hii kesi. Ilikuwa kama James Bond Movie back then.
 
The case of Sarah Simbaulanga, a National Bank of Commerce (NBC) employee who stole Shs 31.0 million in foreign exchange (mostly travellers cheques) astonished Tanzanians because of the sum of money involved in the theft, the apparent ease with which it was carried out and, the biggest surprise of all, the immediate admission of guilt after the lady had been arrested. The accused looked very calm in the dock. Yes she said it is true to the five counts she was facing. The Principal Resident Magistrate asked her twice if she really understood the charges against her. She confirmed her plea of guilty.

The evidence presented to a packed court in Dar es Salaam was, in abbreviated form, as follows:
Between October 19th and 29th 1987 Simbaulanga and an accomplice named Toroha (whose extradition from Kenya is being demanded by the Tanzanian authorities) stole from the NBC 1,100 travellers cheques worth US$ 390,000 and 200 travellers cheques worth £20,000.

Simbaulanga and Toroha had been friends since the early seventies when she had been at Kisutu Secondary school in Dar es Salaam. She and Toroha hired two rooms at the Skyway Hotel on the night of October 29-30. Simbaulanga had managed to obtain four passports for herself and her three children. They travelled on an Air Tanzania plane to Nairobi on October 31st. They then used some of the travellers cheques to buy five KLM tickets to London. On November 1st and 2nd they made twelve different transactions using $246,000, The Police are still trying to trace the remaining travellers cheques.

The accused then bought five tickets to Nairobi on November 5th, and in Nairobi they carried out further transactions with new travellers cheques they had bought in London. Toroha bought four mini-buses and a pick-up and registered them under the name of his wife Elizabeth. Later three other suspected accomplices were arrested Simbaulangas NEC Controller, a KLM Sales Manager and a businessman. On February 10th Simbaulanga was sentenced to 35 years imprisonment, seven years on each count, to run concurrently.

But, on February 16th, the Prosecution appealed the case and asked the High Court to issue an order for the sentence to run consecutively. Subsequently, Simbaulanga was sentenced to 28 years in prison. The case was one of many referred to later by SHIHATA under the heading Tanzanias thriving theft industry in which it quoted a whole spate of thefts by servants of the NBC from branches all over the country. It estimated the total loss at over Shs 60.0 million.

Source: Tanzanian Affairs » Issue 30
 
Wakuu Heshima Mbele!

Kwa wale mnaomkumbuka - huyu mama na bwana wake Toroha Mohamed Toroha Waliishia wapi? Kwa wale wasiokumbuka huyu ndio mwanamke wa kwanza na wa pekee kufanya wizi mkubwa sana katika benki ya Taifa ya Biashara NBC Tanzania back in the 1980's ( Wizi kutumia bank fraud). Baada ya kuiba hizo hela alikimbilia Mombasa Kenya alikoenda kukamatwa nyumbani kwa boyfriend wake Toroha Mohamed Toroha. Wote waliletwa Tanzania na kuhukumiwa vifungo.

wakuu mimi navyojua uyu mama aliachiwa kwa msamaha kipindi cha mzee ruksa, na alikuwa na mtoto alimpata uko gerezani, alipoachiwa alikuwa anaishi kawe.niliwahi kumuona kwa baba yake pale kawe kwa masunga jiran na myfair bar.ila kwa sasa sijui mana kipingi iyo ni nilikuwa kawe miaka ya 1990s. Mtoto wake wa kike nilisoma nae primary baadae yeye akafauru kibasira mimi forodhan.ni muda sana umepita.
 
Wala sishangai. Mzee alikuwa anatoa ruksa kwa kila aina ya uhalifu nchini. Mnakumbuka wale watu waliokamatwa na mrema na magendo ya dhahabu walifungwa akawaachia eti kaombwa na mama yake! Mama yake gani, alishindwa tu kusema wife alikuwa na mshiko kwenye hilo dili!
 
"BILA RUSHWA..HAKI HAIPATIKANI....TOA RUSHWA UPATE HAKI.....(?)
RUSHWA NA TANZANIA DAM-DAM.....!
TAASISI IPI RUSHWA KWAO MWIKO?
NASEMA KWA KUWA YAMENIKUTA......!
"

Yan mahakamani ndo usiguse kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
THE CASE OF THE TRAVELLERS CHEQUES
The case of Sarah Simbaulanga, a National Bank of Commerce (NBC) employee who stole Shs 31.0 million in foreign exchange (mostly travellers cheques) astonished Tanzanians because of the sum of money involved in the theft, the apparent ease with which it was carried out and, the biggest surprise of all, the immediate admission of guilt after the lady had been arrested. The accused looked very calm in the dock. “Yes” she said “it is true” to the five counts she was facing. The Principal Resident Magistrate asked her twice if she really understood the charges against her. She confirmed her plea of guilty.

The evidence presented to a packed court in Dar es Salaam was, in abbreviated form, as follows:

Between October 19th and 29th 1987 Simbaulanga and an accomplice named Torcha (whose extradition from Kenya is being demanded by the Tanzanian authorities) stole from the NBC 1,100 travellers cheques worth US$ 390,000 and 200 travellers cheques worth £20,000. Simbaulanga and Toroha had been friends since the early seventies when she had been at Kisutu Secondary school in Dar es Salaam. She and Toroha hired two rooms at the Skyway Hotel on the night of October 29-30. Simbaulanga had managed to obtain four passports for herself and her three children. They travelled on an Air Tanzania plane to Nairobi on October 31st. They then used some of the travellers cheques to buy five KLM tickets to London. On November 1st and 2nd they made twelve different transactions using $246,000, The Police are still trying to trace the remaining travellers cheques.

The accused then bought five tickets to Nairobi on November 5th, and in Nairobi they carried out further transactions with new travellers cheques they had bought in London. Torota bought four mini-buses and a pick-up and registered them under the name of his wife Elizabeth.

Later three other suspected accomplices were arrested Simbaulanga’s NEC Controller, a KLM Sales Manager and a businessman.

On February 10th Simbaulanga was sentenced to 35 years imprisonment, seven years on each count, to run concurrently. But, on February 16th, the Prosecution appealed the case and asked the High Court to issue an order for the sentence to run consecutively. Subsequently, Simbaulanga was sentenced to 28 years in prison.

The case was one of many referred to later by SHIHATA under the heading ‘Tanzania’s thriving theft industry’ in which it quoted a whole spate of thefts by servants of the NBC from branches all over the country. It estimated the total loss at over Shs 60.0 million.
 
Du mwanangu umenikumbusha hii kesi ambayo ilitupa taabu wanasheria wakati ule! Nadhani hawa jamaa sasa watakuwa makapuku waliotumiwa na wajanja waliotaka kukwepa nyavu za mwalimu ambaye hakuwa na mchezo na mafisadi by then tofauti na sasa wanaopabudiwa.
Hahaha! Aisee wakati ule wa Nyerere hii ilikuwa major issue mpaka Ikulu ilikuwa inafuatilia hii kesi. Ilikuwa kama James Bond Movie back then.

The evidence presented to a packed court in Dar es Salaam was, in abbreviated form, as follows:
Between October 19th and 29th 1987 Simbaulanga and an accomplice named Toroha (whose extradition from Kenya is being demanded by the Tanzanian authorities) stole from the NBC 1,100 travellers cheques worth US$ 390,000 and 200 travellers cheques worth £20,000.
Mnatuchanganya sasa, mara enzi za Mwalimu; mara between October 19th and 29th 1987....which is which?Anyway, nakumbuka kuzisikia hizi news but I wasn't that old kuweza kuumiza kichwa kwa mambo kama hayo! What I remember ni Simbaulanga kuiba fedha benki; benki gani, I dunno; kumbe ni NBC! Kama ni NBC, hii imeliwa na watu wengi sema tu yeye ilikuwa in excess...kwa sababu kwahiyo amount, kwa rate ya sasa ni zaidi ya TZS 600M!
 
Nakuhakikishia ni mwaka 1987 wakati wa Rais Ali Hassan Mwinyi, na Mwalimu akiwa amebaki Mwenyekiti wa CCM
 
Kesi ya Simbaulanga ilikuwa nadhani mwaka 1984 enzi za mwalimu, na ninadhani ndiyo mwaka huo huo vijana wawili waliteka ndege ya ATC kwa kutumia bunduki za watoto (toy guns)
 
Nakuhakikishia ni mwaka 1987 wakati wa Rais Ali Hassan Mwinyi, na Mwalimu akiwa amebaki Mwenyekiti wa CCM

Hapana, ni kama ilikuwa mwaka 1984. Nakumbuka kipindi hicho hadi MWATEX/URAFIKI TEXTILES walitoa khanga/vitenge vya akina mama vilijulikana kwa jina maarufu la Simbaulanga!
 
Back
Top Bottom