Nawe kilamahali upo mmmmmmmmmmmmm kweli unatumikia ajira vizuriHuna haja ya kuwaonea huruma CCM, nadhani ungetumia muda huo kujenga chama chako cha Magwanda. CCM imezaliwa kushinda.
Anaonekana kabisa kalazimishwa kumuombea kura Mgombea kwa tiketi ya CCM, moyono anahuzuni kubwa kwani anajua ya kwamba ametolewa mhanga na wenzake. Lakini hana la kufanya kwani akithubutu tu basi ujue awe tayari kufa, kufilisika au kukimbia nchi maisha yake yote ambayo wana kijani watakuwa madarakani.
Mmefanya makosa makubwa sana kumuita siku ya ufunguzi wa kampeni. Wananchi watajiuliza iweje awe yeye wa kuomba kura wakati ametoka mda si mrefu tena kwa kashfa ya kujivua gamba. Yeye kama ni fisadi mbona bsi muendelee kuwa naye!
Wananchi wa Igunga kazi kwenu kwani imesemwa mwenye macho haambiwi tizama! Uchaguzi mwema.
Rostam akikubali kwenda kwenye kampeni nasema hivi 'RA anafikiria kwa kutumia makalio yake'
Hujambo kijana? kumbe bado upo?...Huna haja ya kuwaonea huruma CCM, nadhani ungetumia muda huo kujenga chama chako cha Magwanda. CCM imezaliwa kushinda.
Wa mbili havai moja. Na Igunga hakamati mtu asiyemtaka Rostam?
kijana mdogo akili za kingunge.Huna haja ya kuwaonea huruma CCM, nadhani ungetumia muda huo kujenga chama chako cha Magwanda. CCM imezaliwa kushinda.