Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,711
- 9,317
Mbona jiwe naye kafuta ajira? Hao hao ndiyo wanaotumika na CCM na midomo yao ipo juu kusema vijana wajiajiri sijui kilimo kinalipa. Watajiajiri wala usiwaze sana maana kilimo kinalipa na watu wengi sana wamekuwa mabilionea kwa kilimo. Ha ha ha haUnacheka wakati ni jambo la kusikitisha. Ajira za watu ziko mashakani
Badili hoja yako umeshakuwa mtu mzima. Kila siku unajadili ujinga tuu na wanaoongoza kwa kushindwa kuadika kiswahili fasaha ni wenzetu.= wanabadilishana
= aliyebadili
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mkuu kwema?Jitazame sura yako, unajiona?
Hapo sasa.
haahaa unamkumbuka huyu jamaa mzee, bila shaka ni kilikua kipindi cha kutuma salamEnzi za R.F.A
Mtangazaji: unaitwa nani
Mwili obare:naitwa Mwili obare kutoka musoma Mara
Mtangazaji: mwili obare
NaaaaaΓ aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaΓ aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaammm
Yani jamaa alitika mpaka radio Betri zikaisha.
sasa unamanisha nini WEWE NI MCHAGA ila..... pathetic kabisaNiwaombeni viongozi wangu mnaotuongoza
Isaidieni sana RFA isife imefanya mambo makubwa katika nchi yetu
Mimi ni mchagga ila imesaidia sana maendeleo yawatu
Mh Raisi Magufuli nakuomba Baba wa Tanzania iokoe hii RFA viongozi mguswe na hili
Alikuwepo na yule mwenzie lawena nsonda kutoka makongorosi chunya.haahaa unamkumbuka huyu jamaa mzee, bila shaka ni kilikua kipindi cha kutuma salam
Wacha anitukanie hayo mambumbumbu masalia yenye kuharibu lugha yetu.Haya tumekutana tena bibi ila cjapenda unavo crash wenzako.
Anyway...kwema bibi?
Faiza ww mwarimu hwa kiswairi?Jitazame sura yako, unajiona?
Hapo sasa.
Hapo ni suala la uduwanzi wa mkurugenzi mwenyewe.Hawa walipendelea upande mmoja kipindi cha kampeni kuliko hata redio na gazeti la chama tawala, hata Chanel ten walikua bora kidogo.
Anyway wacha tuisome namba, hope watajifunza kitu.
Bibi yako huyo, unamanzaje kuingiza mkuyenge kwa bibi yko?Nitakupiga mimba wewe.....
Mwanamme unaejiita "love Nuru", mwenyewe una hamu ya kutiwa mimba.Nitakupiga mimba wewe.....
πππππππππππWambura mtani ana kipind kinaitwa JE HUU NI UUNGWANA? kila jumapili kazi kusema ya wenzake yeye anakaa had miezi 3 bila mshahara halizungumzii hili
Nisamehe mkuu.Unacheka wakati ni jambo la kusikitisha. Ajira za watu ziko mashakani
ππππππMbona jiwe naye kafuta ajira? Hao hao ndiyo wanaotumika na CCM na midomo yao ipo juu kusema vijana wajiajiri sijui kilimo kinalipa. Watajiajiri wala usiwaze sana maana kilimo kinalipa na watu wengi sana wamekuwa mabilionea kwa kilimo. Ha ha ha ha
Hawakusikia ule wimbo wa CCM acha waisome namba? Kipindi hicho Diallo na wafanyakazi wake wanakatika ofisini wakimpongeza jiwe walikuwa hawaelewi nini maana ya "kuisoma namba"?
WACHA WAKOME KABISA.
Mwanamme unaejiita "love Nuru", mwenyewe una hamu ya kutiwa mimba.
Mbona saa hivi nawasikuliza hapaKinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzun kwa kweli, watangazaji wanabadirishana kutwa hao hao.
Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa dw radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.
Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.
RIP RFA.