Maskini RFA, ndiyo kwaheri hivyo

Maskini RFA, ndiyo kwaheri hivyo

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,202
Reaction score
25,378
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzuni kwa kweli, watangazaji wanabadilishana kutwa hao hao.

Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.

Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.

RIP RFA.
 
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzun kwa kweli, watangazaji wanabadirishana kutwa hao hao.

Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa dw radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.

Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.

RIP RFA.
= wanabadilishana
= aliyebadili

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hawa walipendelea upande mmoja kipindi cha kampeni kuliko hata redio na gazeti la chama tawala, hata Chanel ten walikua bora kidogo.

Anyway wacha tuisome namba, hope watajifunza kitu.
 
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzun kwa kweli, watangazaji wanabadirishana kutwa hao hao.

Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa dw radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.

Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.

RIP RFA.
watoe gawio millioni moja waombe millioni mia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom