So unamwonea wivu. Huyu si mtu wa spot spot.hii ndio bongo, mikwala ya press, gari Kali "range rover,", 9 lawyers. lakini wapi wamekung'ang'ania hii ndo bongo da!
Mbona anachelewa?ikibidi mfuate pia!Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda

Don't transpose issues. Learn to stick to matters at hand.Wewe unaona hivyo lakini ni ukweli ....mkuu ukikwaruzana naye..ukibishana naye hata kitu kidogo...basi atakufanyia...ndio alivo......
Manji alivo kwaruzana naye kuhusu coco beach.....sasa hichi ndo kisasi...
Na mengine ndo hivo...vita 90% ni dhidi ya waislam...
Wauza unga wanajulikana na makonda anawajua lkn anashindwa kuwataja ni rafiki zake...
kwani una wasiwasi gani?subiri jumatatu mkuu...majibu yote nimeeleza hapo. Lengo kama limeleta matokeo waendelee na kesi. Na kama hawajapata kielelezo chochote wataendeshaje kesi bila ushahidi???
EtiehPole mkuu mana huo mguno nimeusikia mpaka huku!
Acha udini kwenye mambo ya msingi, gwajima ni wa dini gani? Tafadhali dini haiwezi kuwa kinga dhidi ya jinaiWewe unaona hivyo lakini ni ukweli ....mkuu ukikwaruzana naye..ukibishana naye hata kitu kidogo...basi atakufanyia...ndio alivo......
Manji alivo kwaruzana naye kuhusu coco beach.....sasa hichi ndo kisasi...
Na mengine ndo hivo...vita 90% ni dhidi ya waislam...
Wauza unga wanajulikana na makonda anawajua lkn anashindwa kuwataja ni rafiki zake...
Bahati znuri hakuna kichaa anayeweza kutoa maelekezo ya kiserikaliNakushukuru umekubali nilichosema. Na anaye support kila kitu, hata kama akiambiwa kichaa, yuko chama gani?
Nimeandika ulichokisoma na kukijibuNdo umeandika nini sasa. Kukaa kimya nibusara sana kuliko kuonyesha ujinga wako mbele zawatu.
Weka hiyo video..Usiniulize angalia video yake...
Wasiwasi wangu ni kwamba tunaweza kupoteza muda na kushusha credibility ya wanaosimama kuitetea serikali kwa kuamua kuanza kuleta longolongo mahakamani kama walivyotaka kufanya jana kwa Mh. Tundu Lissu. Yaani unakuta lawyer wa serikali na mwendesha mashitaka wake wanafanya kazi ya ziada kutafuta na kuwasilisha viraka vya ushahidi badala ya ushahidi wenyewe.kwani una wasiwasi gani?subiri jumatatu mkuu
Angetoka angeshafanya press conference nyingine.Acha kutudangany manji saiz yupo kwake sema police wanaogopa kuweka waz insu kua jamaa ameachiwa saiz anakula bata tu na mke wake
kwani kesi ya lissu ishaanza kusikilizwa?Wasiwasi wangu ni kwamba tunaweza kupoteza muda na kushusha credibility ya wanaosimama kuitetea serikali kwa kuamua kuanza kuleta longolongo mahakamani kama walivyotaka kufanya jana kwa Mh. Tundu Lissu. Yaani unakuta lawyer wa serikali na mwendesha mashitaka wake wanafanya kazi ya ziada kutafuta na kuwasilisha viraka vya ushahidi badala ya ushahidi wenyewe.
Binafisi nampongeza Rais Magufuli kwa haya anayo fanya toka ameingia Madalakani yuko sahihi kabisa. lazima kuwe na utofauti kati Selikali na matajili Matajili ukiwaacha wakaota mapembe nchi itayumba,hivi sasa ndio tumepata Baba wa Taifa kwa mala nyingine.Wenye Akili timamu tunajuwa anachokifanya huyu Mzee na Matunda yake titayaona Badae Asante Rais wangu.




Hujawahi kuwa Na akili!!kwa hiyo ukimuona tu tajiri basi umvamie umpige marungu Na umtupe tu sero ili ajue tofauti yake na serikali? Choo kabisaBinafisi nampongeza Rais Magufuli kwa haya anayo fanya toka ameingia Madalakani yuko sahihi kabisa. lazima kuwe na utofauti kati Selikali na matajili Matajili ukiwaacha wakaota mapembe nchi itayumba,hivi sasa ndio tumepata Baba wa Taifa kwa mala nyingine.Wenye Akili timamu tunajuwa anachokifanya huyu Mzee na Matunda yake titayaona Badae Asante Rais wangu.
Akihamisha ile klabu ya jangwani akaenda nayo kule itakuwa poa mbona.Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Mwulize DPP/State attorney...kwani kesi ya lissu ishaanza kusikilizwa?
Gwajima inajulikana..alimsaidia EL...na akamponda Pengo.Acha udini kwenye mambo ya msingi, gwajima ni wa dini gani? Tafadhali dini haiwezi kuwa kinga dhidi ya jinai
Akili zenu nyie...kuna watu wajinga sana nyieWaende tu, tuzalisha matajiri wengine.
Nakuuliza wewe ambae umesema state attorney alikuwa anajaribu kuunga ushahidiMwulize DPP/State attorney...