Masikini Manji, hii ndio Bongo!

Ila mwenzie Rostam aliona mbali akalala mbele,Mwaka kahamia sauzi anapiga deal km kawa kaona bongo longolongo.Jamaa ni mzalendo wa kweli ameona tusome namba wote.
 
Ila mwenzie Rostam aliona mbali akalala mbele,Mwaka kahamia sauzi anapiga deal km kawa kaona bongo longolongo.Jamaa ni mzalendo wa kweli ameona tusome namba wote.
Du kumbe amehamia bondeni, kwahiyo alimtanguliza yule binti mzuri kule.
 
Unacheck panapolipa baada ya ten year unarudi sio unaona hata msumbiji inalipa SAA hizi ndo maana unaona semitrela nyingi za Zambia, Malawi, Congo nk zimehamia, ukiona mahali semi ziko nyingi jua hela ipo,wakati mwingine ukipata chansi unatoka unabadili upepo si unaona wachina kila kona.
 
Tumia buku tano. Buku mbili bakisha.

Usitumie posho yote
 
Anyway ... unapokuwa na mitazamo yako don't speak of majority! afu sioni where to fit ur point! so unataka kusema tunamchukia manji kwa kuwa ni tajiri! damn! yo ain't even know about me!

Ht angekuwa nani lakn kwenye madawa hatuangalii mkuu.
Huo ndo ukweli, wewe ni maskini na ndo maana unawachukia wenye utajiri
 
kwa ninavyomfahamu manji, someone must pay something someday kwa hili. ngoja tuendelee kusubiri. ila udictator haujawahi kuwa na mwisho mzuri hasa kwa dictator mwenyewe na watoto wake. tujifunze kwa gadafi na watoto wake na supporters wake wote.
Hata Mabotu , wanaishia kuangaisha familia zao
 
Kwani alilazimishwa kuvuta?
 
Matajiri wengi utajiri wao si safi! Hivyo hutegemea wanasiasa na mapolisi kuwakingia kifua! Wizi, dhuluma, kukwepa kodi, ujangili, biashara haramu na vitu kama hivyo!
Sasa wakikuta MTU msafi asiyeendekeza kupokea kitu kidogo mkwamo wao huwa ni mkubwa sana! Watambue pia kuwa pesa siyo kila kitu na haina majawabu yote! Wajifunze kuheshimu watu na viongozi wetu!
 
Huyu ponjoro akitoka anaweza kuhamia Kenya kwa uchungu maana yaliyompata hakuyategemea.
 
Kweli Sugu yupo sahihi.makonda ni mtoto ! MTU mzima unalishwaje keki hadharani,tena na mwanaume mwenzio ? Ww ni bibi harusi ? Ss umeaibisha wenzio,kumbe ww shetani alishakuabisha cku nyingi! Na bado ss utaitwa kigagula.micfa ya kijinga kumbe unamadhambi kuliko ibilic mwovu shetani.na ucpoenda kwa Dr.kihiari itabidi ukamatwe km unavyo agizaga wenzio wakamatwe.utapelekwa kwa nguvu ili ukweli ujulikane.ccm wenzio wakikutetea,tutajua mpo wengi mnahitaji hicho kipimo cha Dr.wa serikali
 
Watz ni watu wa ajabu kweli..ukiwa tajir wanakuchukia na wanakuombea upatwe na mabaya...wakat wengine ndio umewaajir..kwa mtazamo huu hatuwezi kuendelea kamwe
Hii dhana ya kufikirika kuwa matajiri wanachukiwa inakera sana! Yaani wanataka waharibu vijana wetu (baadhi yao) kwa madawa ya kulevya halafu wanatarajia tuwachekee! Wanadharau viongozi wetu kwa kuwaitia vyombo vya habari na kuwakashifu then wanatarajia tuwachekee! Imagine mtuhumiwa anamtisha MKUU wa mkoa na kumpangia ratiba ya kukutana! Hivi mtuhumiwa anadhani alipotakiwa kuripoti ijumaa MKUU wa mkoa hakuwa anajua kuwa kuna alhamis pia kwenye siku za wiki? Halafu anategemea tuchekelee hicho kiburi chake? Hatuwachukii kwa utajiri wao, tunachukia kiburi chao! Hivi wao hawajui kuwa wana kiburi? Hivi hawa na wenyewe wananihesabu majiri miongoni mwa matajri duniani? Yaani ukiwa na pesa kumzidi mwingine unajihesabu kuwa tajiri? Hivi ukimweka huyu Mwenyekiti wa klabu yetu kwenye kundi la kina Trump (bilionea wa kiwango cha dola) halafu wakamwita MASKINI utawashangaa?

Watz ni watu wa ajabu kweli..ukiwa tajir wanakuchukia na wanakuombea upatwe na mabaya...wakat wengine ndio umewaajir..kwa mtazamo huu hatuwezi kuendelea kamwe
Hii dhana ya kufikirika kuwa matajiri wanachukiwa inakera sana! Yaani wanataka waharibu vijana wetu (baadhi yao) kwa madawa ya kulevya halafu wanatarajia tuwachekee! Wanadharau viongozi wetu kwa kuwaitia vyombo vya habari na kuwakashifu then wanatarajia tuwachekee! Imagine mtuhumiwa anamtisha MKUU wa mkoa na kumpangia ratiba ya kukutana! Hivi mtuhumiwa anadhani alipotakiwa kuripoti ijumaa MKUU wa mkoa hakuwa anajua kuwa kuna alhamis pia kwenye siku za wiki? Halafu anategemea tuchekelee hicho kiburi chake? Hatuwachukii kwa utajiri wao, tunachukia kiburi chao! Hivi wao hawajui kuwa wana kiburi? Hivi hawa na wenyewe wanajihesabu majiri miongoni mwa matajri duniani? Yaani ukiwa na pesa kumzidi mwingine unajihesabu kuwa tajiri? Hivi ukimweka huyu Mwenyekiti wa klabu yetu kwenye kundi la kina Trump (bilionea wa kiwango cha dola) halafu wakamwita MASKINI utawashangaa?
 
Tatizo la Africa ni kuwa tunafanya chaguzi za Kidemokrasia lakini tukishachagua viongozi wanafanya matendo ya kidikteta. Na hiyo ni Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…