Watanzania sio wajinga kukubali kuendeshwa na hawa wapuuzi wanaokula bata nje ya TZ. Kama ni maandamano yalikwepo sana tu tena enzi za IGP mtata Mahita. Hata hawa CHADEMA walishawahi andamana hadi hawara wa Dr Slaa akapasuliwa usoni kwa kipigo. Kina Lipumba na Slaa walikuwa wanakaa mstari wa mbele kwenye maandamano ndo maana wananchi walisapoti harakati zao.
Yani we achaa nmekaa hapa nawazoom walivyojazana kila mtaa, uwanjani sasa usiseme! Wakazi hatupo wageni sasa🙌🏾Hii ni vita, usipotoka bado kina Fwele watakuja kukuteka, kabla ya kuua wana kufir@@ kwanza. Bora utoke kama kufa ufe ukisaka haki ya vizazi vijavyo, usijiangalie wewe ( angalia walio nyuma yako )
Seran mda wetu umefika boss wangu
Upo sahihi sana mkuu!.Hapana, sipo tayari, napenda sana kuishi plus Ugali na Maharage ni moja ya kitu bora maishani mwangu. Na hicho ndicho kinachonifanya nilinde kilichondani ya uwezo wangu. Kwa kuishi kimya kwa amani nikifanya yanayonihusu, badala ya kujitangaza mitandaoni na kujihusisha na mambo ya serikali na viongozi ambayo impact yake kwangu in general is beyond negligible currently.
Sasa nijibu swali langu: Uko tayari kuumia, kufa au kupoteza kila ulichonacho leo ili kuleta mabadiliko?
Kwamba wasipokuunga mkono ndio unawatukana ? Una tofauti gani na hao wengine wanaowanyima hao haki zao kama na wewe unawashurutisha watu kufanya unachoona kwako ni sawa ?Watz ni wasenge wasenge kwa uoga.
Nitawaomba radhi ikiwa kesho tutakinukisha haswa. Nitakuwepo
Kumbato la mzimbabwe 😂😂😂😂😂😂Mkiwekewa za mzimbabwe si na VPN mtazuia? Au?
Si mara ya kwanza kuwa dissapointed, 2015 lilimkuta anajuaNamuhurumia sana Mange Kimambi kwa aibu atakayopata kutoka kwa Watanzania.
Binafsi natamani maandamano ya amani yawepo reforms zifanyike kusudi huko kupiga kura kuwe na maana kuliko maigizo haya ya kila siku ya kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana tayari.
Kwa nguvu alizotumia Mange Kimambi nasikitika kusema watanzania wata mdisappoint na hatokaa aamini macho yake.
Kwa hali ilivyo huku uraiani hakuna mwenye nia ya kuandamana na ila kuna asilimia ndogo sana ya watu ambao watapiga kura.
Asilimia zaidi ya 70 tumeshakubaliana na hali ,na hiyo siku watu tutaichukulia kama zilivyo siku nyingine, hatupigi kura ila kuhusu kuandamana itategemea pia japo si rahisi kufanyika.
Nikikumbuka maandamano ya UKUTA yalivyotikisa kipindi kile na hakuna Mtanzania hata mmoja aliyejitokeza kuandamana licha ya kujazana upepo wa kuandamana ninadhani hata hii tarehe 29 mambo yatakuwa ni yaleyale.
Watu hatuwazi kabisa kuhusu uchaguzi kila mmoja yupo busy na shughuli yake na hatuna habari kabisa kuhusu huo uchaguzi feki.
Pole sana Mange, watanzania sisi ni kama kenge hatusikii mpaka damu zitutoke masikioni .
...Subiri kwanza uone, ndipo umpe Pole!Namuhurumia sana Mange Kimambi kwa aibu atakayopata kutoka kwa Watanzania.
Binafsi natamani maandamano ya amani yawepo reforms zifanyike kusudi huko kupiga kura kuwe na maana kuliko maigizo haya ya kila siku ya kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana tayari.
Kwa nguvu alizotumia Mange Kimambi nasikitika kusema watanzania wata mdisappoint na hatokaa aamini macho yake.
Kwa hali ilivyo huku uraiani hakuna mwenye nia ya kuandamana na ila kuna asilimia ndogo sana ya watu ambao watapiga kura.
Asilimia zaidi ya 70 tumeshakubaliana na hali ,na hiyo siku watu tutaichukulia kama zilivyo siku nyingine, hatupigi kura ila kuhusu kuandamana itategemea pia japo si rahisi kufanyika.
Nikikumbuka maandamano ya UKUTA yalivyotikisa kipindi kile na hakuna Mtanzania hata mmoja aliyejitokeza kuandamana licha ya kujazana upepo wa kuandamana ninadhani hata hii tarehe 29 mambo yatakuwa ni yaleyale.
Watu hatuwazi kabisa kuhusu uchaguzi kila mmoja yupo busy na shughuli yake na hatuna habari kabisa kuhusu huo uchaguzi feki.
Pole sana Mange, watanzania sisi ni kama kenge hatusikii mpaka damu zitutoke masikioni .
Nikiona nyomi natoka....Subiri kwanza uone, ndipo umpe Pole!
Nikuulize kidogo, Wewe Utatoka ? Au unajiandaa TU kumpa Mange Pole ??? 🙄🙄🙄
Kumbe hamnazo! Kila mtu akisema akiona nyomi anatoka nani atatoka?Nikiona nyomi natoka.
Polisi wamejiandaa kishari, raia tukiwa wachache hatuwezi kuwazidi nguvu lazima tuhamasishane tuwe wengi.Kumbe hamnazo! Kila mtu akisema akiona nyomi anatoka nani atatoka?
Unataka kuandamana kwa kufata mkumbo! Ukitoka naombea uvunjwe miguu