Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,944
- 3,090
Naona mko busy kutest mitambo .
Tabu bado iko p
Yaani kwa namna hali ilivyo hivii ulitegemea huo utafiti wako uje na matokeo gani zaidi ya hayo?
Hujawahi kukutana na kale ka clip cha mtu anamuuliza dogo utaandamana nae akajibyje? 🤣
Ile ndiyo code ya kitaa ili wasije wakadajwa kabla ya siku ya tukio .
Kaa kwa kutulia .
kitaa kwa moto nihatari jombaa
Tabu bado iko p
Mkuu unazingua ujue 🤣🤣🤣Namuhurumia sana Mange Kimambi kwa aibu atakayopata kutoka kwa Watanzania.
Binafsi natamani maandamano ya amani yawepo reforms zifanyike kusudi huko kupiga kura kuwe na maana kuliko maigizo haya ya kila siku ya kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana tayari.
Kwa nguvu alizotumia Mange Kimambi nasikitika kusema watanzania wata mdisappoint na hatokaa aamini macho yake.
Kwa hali ilivyo huku uraiani hakuna mwenye nia ya kuandamana na ila kuna asilimia ndogo sana ya watu ambao watapiga kura.
Asilimia zaidi ya 70 tumeshakubaliana na hali ,na hiyo siku watu tutaichukulia kama zilivyo siku nyingine, hatupigi kura ila kuhusu kuandamana itategemea pia japo si rahisi kufanyika.
Nikikumbuka maandamano ya UKUTA yalivyotikisa kipindi kile na hakuna Mtanzania hata mmoja aliyejitokeza kuandamana licha ya kujazana upepo wa kuandamana ninadhani hata hii tarehe 29 mambo yatakuwa ni yaleyale.
Watu hatuwazi kabisa kuhusu uchaguzi kila mmoja yupo busy na shughuli yake na hatuna habari kabisa kuhusu huo uchaguzi feki.
Pole sana Mange, watanzania sisi ni kama kenge hatusikii mpaka damu zitutoke masikioni .
Yaani kwa namna hali ilivyo hivii ulitegemea huo utafiti wako uje na matokeo gani zaidi ya hayo?
Hujawahi kukutana na kale ka clip cha mtu anamuuliza dogo utaandamana nae akajibyje? 🤣
Ile ndiyo code ya kitaa ili wasije wakadajwa kabla ya siku ya tukio .
Kaa kwa kutulia .
kitaa kwa moto nihatari jombaa