Masikini Mange Kimambi

Masikini Mange Kimambi

Na wewe ukasema jibu langu ni sawa na lako, kwamba hautaki kufa.
Sijakwambia jibu lako ndio jibu langu, haiwezi kua hata siku moja wewe ushatosheka huumii na chochote wewe sio mimi usijilinganishe na mimi na usinichimbe sana kutaka kujua kipi nakifurahia zaidi kati ya uhai na kifo yaan nataka kufa au nataka kuishi unauliza maswali gani hayo? Ili upate nini nikikwambia nataka kufa utaniua wewe au utatuma kikosi kije kiniue? Usiniwekee majibu yako mdomoni kwangu
 
Hongera kwa kujua utakufaje. Wewe ni bonge la kiazi. Kumbe hujui unaweza ku play low key na ukafa mapema tu! Tena kwa kifo cha aibu
Sijui nitakufaje, bali naepuka aina ya kifo iliyo wazi. Kuna tofauti hapo. Kama mimi ni kiazi basi ni bora kuliko kuwa kama wewe ambaye unachagua aina ya kifo badala ya kuepuka. Kutokujiepusha ikiwa unajua hauna uwezo wa kumpiga adui ni zaidi ya upumbavu.

Upo tayari kuvuka barabara ikiwa umeona basi lijalo kwa kasi?
 
Sijakwambia jibu lako ndio jibu langu, haiwezi kua hata siku moja wewe ushatosheka huumii na chochote wewe sio mimi usijilinganishe na mimi na usinichimbe sana kutaka kujua kipi nakifurahia zaidi kati ya uhai na kifo yaan nataka kufa au nataka kuishi unauliza maswali gani hayo? Ili upate nini nikikwambia nataka kufa utaniua wewe au utatuma kikosi kije kiniue? Usiniwekee majibu yako mdomoni kwangu
Hutaki kuulizwa maswali wakati huohuo wewe ni wa kwanza kuuuliza wengine, ikiwemo mimi. Hiyo inaitwa double standards na kuwa hypocrite.

Ninachokiona ni kwamba unaogopa sana. Unaogopa sana kufa. Basi nisikilize mimi nikikwambia kwamba harakati zako ni hatari sana kwa maisha yako, zifanye humuhumu mitandaoni, hasa kama jf yenye fake IDs na sio nje ya hapo.

Kitu ambacho nategemea unakitekeleza tayari, kitu ambacho kinatuoa credibility ya kuniambia mimi nasambaza uoga na kuniita muoga. Naona unaanza kuona uhalisia.
 
Watu kama wewe mkipigwa madole ya matakoni na kuchukuliwa wake zenu na hao wanasiasa njaa labda mtaamka kidogo, sio lazima uandamane lakini uwoga mpaka aibu
Matusi mengi sana, ni dalili ya kutumia hisia badala ya akili. Kuna uoga ambao ni hisia na kuwa makini au caution ambayo ni matumizi ya akili. Kwa maneno yako nina uhakika wewe ni muoga kupitiliza.

Mwanasiasa ni mtu mmoja na unadeal naye individually, Serikali ni taasisi. Jua kutofautisha. Na ndio maana nimesema negative impact ya serikali kwangu kama individual na majority ya average citizens ni beyond negligible.

Je wewe uko tayari kuumia, kufa au kupoteza kila ulichonacho leo ili kuleta mabadiliko?
 
Ngoja niachane na upuuzi wako usio na tija yoyote kwangu
Good, unaogopa uhalisa. Hakuna unachokifanya sasa hivi humu JF kina tija zaidi ya kupoteza muda. Nadhani mpaka sasa umeona nani ni mwenye akili na mkurupukaji.

Kuanzia leo acha kuhamasisha watu wafanye vitu usivyoviweza wala kuthubutu kuvifanya na kuwaita waoga. Ikiwemo kufa kwa ajili ya mabadiliko.
 
Meza Zyprexa zako ulale
Ah yes, Zyprexa, ndio leo nimezisikia kwako, lazima utakuwa na experience nazo ya kutosha. Nimefanya research yake right now.

Here are the dots.
1: Unaogopa sana kufa na hautaki kuulizwa maswali ya kufa.

2: Kila uzi unaopita JF unaacha comment inasema au kufanana na "wanauza uoga." Ikiwemo kuniita mimi muuza uoga.

3: Sasa hivi umenijibu kuhusu Zyprexa, ambayo ni dawa ya Schizophrenia na Bipolar Disorder. Magonjwa ya akili yanayohusiana na uoga, maluweluwe na hisia kubadilika mfululizo. Hicho kitendo psychologically kinaitwa protection, yaani kupakazia watu mambo usiyoyapenda bila kujua. Ni njia moja wapo ua kupunguza maumivu ya ndani.

4: Unajiita 404 Pages, ni Web server response kwamba page haipatikani. Unajiita hivyo sababu ya uoga wa kujulikana au kupatikana na mwisho wa siku kuuliwa. Hence kuogopa swali dogo kuhusu kifo.

Conclusion ni lazima utakuwa na mental disorder, sababu hata majibu yako kwa maswali yangu ya kawaida kuhusu kifo yalinishangaza sana, sababu ni maswali ya kawaida sana.

Don't play mind games with me man, utaishia kujiexpose bure na kujiuza, sababu kama ulivyosema "nitachimba" bila kujua na nitakujua nje ndani. But you won't beat me at it, I enjoy the game. Not to brag, but I'm just too good.

Attempt leaving the last word at your own risk. This is incredibly fun.
 
Ngoja tuone itakavyokuwa
Kwa sababu hata wewe mtoa Uzi inaonyesha kuwa haupo tiyari hivyo mange Hana hasara kafanya nafasi yake.

Shida ya wabongo ndo kama hivi hatuna umoja kabisa hapa umekuja kuvunja moyo watu na kuwauzia uoga badala ya kusimama pamoja na kuuziana ujasiri Kwa bei yoyote Ile wewe unakuja kinyume hapo ndo umoja unatoweka
 
Matusi mengi sana, ni dalili ya kutumia hisia badala ya akili. Kuna uoga ambao ni hisia na kuwa makini au caution ambayo ni matumizi ya akili. Kwa maneno yako nina uhakika wewe ni muoga kupitiliza.

Mwanasiasa ni mtu mmoja na unadeal naye individually, Serikali ni taasisi. Jua kutofautisha. Na ndio maana nimesema negative impact ya serikali kwangu kama individual na majority ya average citizens ni beyond negligible.

Je wewe uko tayari kuumia, kufa au kupoteza kila ulichonacho leo ili kuleta mabadiliko?
Ujinga tuu💩🤮🚮🚮🚮🚮
 
Kwa sababu hata wewe mtoa Uzi inaonyesha kuwa haupo tiyari hivyo mange Hana hasara kafanya nafasi yake.

Shida ya wabongo ndo kama hivi hatuna umoja kabisa hapa umekuja kuvunja moyo watu na kuwauzia uoga badala ya kusimama pamoja na kuuziana ujasiri Kwa bei yoyote Ile wewe unakuja kinyume hapo ndo umoja unatoweka
Wabongo wanazingua sana.
 
Watu wengi wapo tayari, mtaani watu hawaropoki kama wataandamana lakini ndugu zetu wa karibu wanaotuamini wanasema watakiwasha.
Iwe hivyo.

Achilia mbali huyo mtu wao.

Wazanzibari pia kiasili siwapendi.

Kutawaliwa na wazanzibari ni kitu kinachonikwaza zaidi.

Nimeishi na wazanzibari ni wanafiki na wabinafsi.

Nchi imechukuliwa na wazanzibari wanatupelekesha mno na ndio maana huwasikii wazanzibari zile kelele zao za kutotaka muungano.
 
Ujinga tuu💩🤮🚮🚮🚮🚮
Yaani unaona ni aibu mtu kukataa kufa kizembe kwa sababu za kipumbavu? No wonder maisha yako ni kufwata mkumbo bila kujiuliza.

Cha pili sikushangaa sana uliponitukana matusi yale ya ajabu moja kwa moja. Sababu kitu kimtokacho mtu ni kioo cha uhalisia wake. Uhalisa wako niliougundua ni kwamba wewe ni faggot, ni shoga anayejificha nyuma ya panzia. Hizi hapa ni comments zako ukitetea mashoga. Ukilinganisha uzi wako wa kwanza ni kuhusu haki za mahoga marekani. I'm deeply disgusted to even write this. Siwapendi kabisa nyie wadudu.

Screenshot_20251028_041730.jpg
Screenshot_20251028_040704.jpg
Screenshot_20251028_040619.jpg
Screenshot_20251028_040553.jpg
Screenshot_20251028_040501.jpg
Screenshot_20251028_040325.jpg
Screenshot_20251028_040249.jpg
Screenshot_20251028_040120.jpg

What a pathetic, disgusting creature.
 
Back
Top Bottom