Kwa hatuo tuliofikia ya sisiemu kuchukua uhai wa watu kama wanaua nzi.. hapana aiseeAh yes, nilivyoona tu comment yako niliexpect kwa asilimia 100 lazima utaniquote.
Mimi siuzi uoga, bali nagawa uhalisia kwa moyo wa huruma. Kubadilisha uongozi kwa nguvu, hata wakifanikiwa, hakutobadilisha maisha ya kila mtu immediately au inaweza isitokee kabisa. Wa chini watabaki chini, ikiwemo wewe. Watakaofaidika ni walio kwenye nafasi husika pekee. Hivyo mwananchi wa kawaida hana sababu yoyote kwa sasa ya kwenda kujiharibia kidogo alichonacho.
Kinachokutofautisha wewe na masikini wa chini kabisa ni delusion na naivety.
Ni heri tuongeozwe na kitu chochote kile au mtu yeyote yule lakini sio ccm hii ya samuya inayonuka damu na inaendelea kumwaga damu za watanganyika.
Nyie machawa mnajiona mko salama sana ila hamjui tu wakishamalizana na sisi watawageukia nyie.