brodah
Mr Rocky umesema vyema sana ila naomba niongezee jambo apo
1. uyu kaka anatakiwa ajue kwamba kama mkewe ni muathirika basi uwezo wa kuwa na tayari up stairs apako vyema ivo awe makin sana na aende nae kwa utaratibu sana
2. kaka aamue kutumia condom kwenye kila tendo na asiwe na mawazo ya kusema hatendi haki apana ajitahidi kuepuka njia zote hatarish kama vile kunyonyana, nk
3. aende hosp ili apewe ushauri nasaha jins ya kumpenda zaid na kumuelekeza kuish kwa matumaini
4. amsisitizie mkewe atumie dawa za kurefusha maisha ili kuepuka magonjwa nyemelez lakin pia hii itampunguzia chances za yeye kuambukizwa.
5. asifanye jambo lolote asilokuwa na uhakika nalo maanke kama mkewe ni mjamzito ajue anatakiwa kupatiwa elimu, ushauri na tiba ili kumkinga mtoto anayetazamiwa na maambukizi ya mama kwa mtoto