asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Ndoa za kikristo unajua tena wif hataki kusikia wala kuelewa
labda wavunje akishajifunguaNawewe mgeni! ckuhizi hakuna cha ndoa ya kikiristo,inavunjwa vzr tu mahakamani kila mmoja anachukua 50 zake,
It seems binti aliupata mwenyewe huyu.
Ila hili kweli jaribu!!
hatari sana aiseeApige chini mapema maisha yenyewe mafupi, kuna wanawake wauaji.
Afanye umayala wake huko hlf atake safe wote.
Kuna mwingine yeye alikuwa anaenda kumezea dawa kwa mama yake.
Tena awe mwangalifu anaweza kukuta hata hiyo mimba siyo yake.
sawa mkuu nimekupatamiss chagga, nadhani jitahidi umwambie kakako wa hiari akae chini na mkewe, amueleze kuwa kwa kuwa ni mjamzito na kwa uweza wa Mungu mtoto atazaliwa bila maambukizi basi one of them has to survive ili amletee huyo mtoto akue..so suala la kumlazimisha wafanye mapenzi bila kinga (ingawa hata kwa kinga si-support) ni selfishness ya mwanamke, anataka wafe wote na mtoto akose wazazi..kitu ambacho sio kabisa.
Mwanamke akikataa kuelewa basi itakuwa haina jinsi bali bro amuache na kuendelea na maisha mengine. Maana kutoelewa kwake inaonyesha roho yake ilivyo
After all nani kati yetu anaweza kuendelea kuishi na mtu wakati anajua fika kuwa huyo mwenza kadhamiria kumuua? kwa njia yoyote sio lazima panga au bunduki?
Khaaaa!!walishauriwa na moja ya njia ni kutumia kinga binti hataki hilo swala la kinga anasema ni dhambi
mi nacho hisi binti ni kuwa kwa kuwa mwenzie ajaupata basi ili awe naye mpaka kifo ni kuwa wote waupate njia ambayo ni ya kibafsi sanaKhaaaa!!
Huyu binti anafanya makusudi
ndiyo ni mlokole ila sasa nimejifunza jambo... Addict pita huku
miss chagga pole sana na jela
Ashikilie msimamo wake bila condom hapana maana hapo mwanamke kashajijua anao anataka amwambukize na mwenzake waupate wote na hiyo ni mbaya sana.
Gubu haliwezi kuisha na wala halitamuua kijana ila akijifanya anafanya bila condom ajue tayari anaupata maana mwanamke inaonekana kadhamiria jamaa aupate na yeye
Asikilize ushauri wa wataalam na akiona yanazidi hapo ni kuwaita wazazi na kuwapa ukweli wa kinachoendelea. Mtoto anaweza kuzaliwa bila kuupata na hapo ajue hata maziwa ya mama hayanyonya
Kama ni mapenzi ampende na kumtimizia kama mke ila kushiriki tendo la ndoa bila mipira asijaribu hata siku moja maana hapo dhamiri ishamtoka huyo mama
kuaminiana kwa macho ni tatizo kubwaOK,sasa nimepata picha na jibu.
Huyu binti huenda aliokoka baada ya kuathirika!!hawa WA hivi ni wengi sna.
Binti Ana makosa km alikuwa anajijua.
Maskini kijana wa watu akaona amepata!!!
shemeji hayupo jf labda nije mimi unipe hiyo dawa nimpelekee
Hata na ndom Mkuu inahitaji moyo sana, ile excitement yote ya kugegeda inatoweka kwa wasiwasi kama ndom itapasuka. Mapigo nayo unakuwa na wasiwasi nayo kama hapa nikiongeza maujanja naweza kuhatarisha maisha yangu, na mupenzi naye ndiyo anataka ufanye maunjanja na mapigo ya siku za nyuma kabla hajaathirika, ni ngumu sana kusema kweli.
Haina Noma Shemeji Tutafutane Nikunyunyuzie Na Mabadiliko Atakayoyaona Kwako Ndiyo Utakuwa Uthibitisho Wangu Kwake Juu Ya Dawa Hiyo.