Mashushushu wa JF

Mashushushu wa JF

sijaelewa

My darling, kuna kitu kinaitwa nguvu ya mvutano
Kawaida negative energy haiwezi kuvuta positive energy

Nikiwa na maana, ulisema umekaribisha wapumbavu wawili kwenye maisha yako

So maana yangu ni kwamba kosa lako lilianza pale ulipomkaribisha huyo mpumbavu wa kwanza, maana ndiye aliyetumia energy yake hasi kumvuta mpumbavu namba 2

Na ukiendelea kuwafuga hao wapumbavu wawili, wataendelea kuvutana mpaka mpumbavu namba 3 aingie ndani 😄
 
ooh kumbe ndo umemaanisha hivyo,,, watakoma wenyewe bwana
 
sema humu JF kuna vi cycle vya kipuuzi mno watu wanasemana live live, kucheka na kusema mapungufu ya wenzio as if kuna alie mkamilifu,, mwanzoni wakati najoin sikuwahi kuviona ila baada ya kuanza kujichanganya na watu ndo nikaanza kuviona,,,

sema kuna makosa nimeyafanya mwishoni kuruhusu wapuuzi wawili kwenye maisha yangu, japo mwanzo sikuhisi kama watageuka mwiba nilihisi watakua sahihi na tungefika mbali ila matokeo yake waligeuka kuwa masnich wa kutupwa😅 kiukweli najuta ila ndo hivyo yashatokea na wamezidi kunikuza,, bad enough ni kwamba mpka saiv nimepokea warning mbili ambazo sizielew,, ila freshiii itajulikana mwisho wacha niendelee kunywa mtori
42D6B784-5E06-44A5-974C-5D08BA467E2E.jpeg
 
Hivi ni kweli kuwa ukilala na binti yako/dada yako unapata mali?

Wanasema kizuri kula na nduguyo et?!

Tuambie mtaalam!
Mabinti zake Lutu kule mlimani wakiwa pekeyao na baba yao.. Waliona mzee anazeeka na wasipojiongeza ukoo utapotea..
Hivyo wakatengeneza mvivyo uluo bora wakampa akanywa akalewa .. Nao wakalewa

Kikubwa ni motive (lengo) pombe na mali ni visingizio

Baada ya Kaini kumuua ndugu yake Abel Mungu alimlaani na kumwambia aende nchi ya mbali
Huko alikutana na 'majitu' akazaa nayo ukoo ukaendelea..
Majitu hata Leo yapo kwakuwa hakuna tunapoambiwa yaliangamizwa...
 
Majasusi wa bamia akina Yericko Nyerere ndio wamekutisha?

Huwa wanakua wapi pale Tanzania ndio mzalishaji pekee wa Tanzanite lakini kiwango kikubwa cha Tanzanite kipo nje ya Tanzania kwenye nchi isiyo na Tanzanite?

Ni maajabu hata pale Premier League tumeshindwa kuwa na label yetu ya "Visit Kilimanjaro" katika moja ya timu.

Leo kinchi kama Rwanda kimetuchapa fimbo katika ligi 3 kubwa ulaya wana lebo yao kwa Arsenal, PSG na Atletico de Madrid.

Majasusi wanajua kumsumbua Lissu na Heche na watu wanaolalamika mafuta kupanda ilhali Zambia inayopitisha mafuta hapo Mzizima wana bei ndogo.
 
Mabinti zake Lutu kule mlimani wakiwa pekeyao na baba yao.. Waliona mzee anazeeka na wasipojiongeza ukoo utapotea..
Hivyo wakatengeneza mvivyo uluo bora wakampa akanywa akalewa .. Nao wakalewa

Kikubwa ni motive (lengo) pombe na mali ni visingizio

Baada ya Kaini kumuua ndugu yake Abel Mungu alimlaani na kumwambia aende nchi ya mbali
Huko alikutana na 'majitu' akazaa nayo ukoo ukaendelea..
Majitu hata Leo yapo kwakuwa hakuna tunapoambiwa yaliangamizwa...
Kweli umempokea Yesu
HALELUYAAAA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom