Mashushushu wa JF

Mashushushu wa JF

Wee mganga kuwa muwazi warning umepewa na nani? Au unanogesha nyuzi zako ili watu washikane mashati?? 😹😹

Hebu mtaje aliyekwambia ana file lako, mi mwenyewe nataka nimjue ili nimjaze alishushe hapa..!!
 
Kuna watu mnapenda kujipa umuhimu sana, kwanza mimi sina file la media uchwara wowote..!!

Mimi humu nadili na official manyakunyaku ambao huwa wanatuletea wenyewe maubuyu yao wakiparangana huko na wakianza lazima turuke nao..!!

Uzuri wenyewe wanajua mpk mahali pa kukutaniana wapi wazipige..!! Na muda tunapewa..!! (Si mliona kamanda alinitonya muda siku ile) Tunajuana wenyewe 😹😹😹

Burudani muhimu na washereheshaji tupo nginja nginja sio shida zetu..!!

Nyie wengine bado hamjakidhi vigezo endeleeni kujifua mfike UEFA. 😹😹🔥🔥
 
b162b82f-942a-4683-a721-ec5f318c236c.jpeg
 
4c3c8977-9f9b-490a-9294-6a89d847161d.jpeg
 
My darling, kuna kitu kinaitwa nguvu ya mvutano
Kawaida negative energy haiwezi kuvuta positive energy

Nikiwa na maana, ulisema umekaribisha wapumbavu wawili kwenye maisha yako

So maana yangu ni kwamba kosa lako lilianza pale ulipomkaribisha huyo mpumbavu wa kwanza, maana ndiye aliyetumia energy yake hasi kumvuta mpumbavu namba 2

Na ukiendelea kuwafuga hao wapumbavu wawili, wataendelea kuvutana mpaka mpumbavu namba 3 aingie ndani 😄
 
Ni suala la kujiwekea mipaka kwa kupunguza idadi ya watu wa kufahamiana nao humu

Kuna baadhi hawana vifua kabisa, mkifahamiana nje ya JF, basi lazima atataka marafiki/jamaa zake nao wa humu wakujue

Vijana/Wazee tujifunzeni kuwa na kaba, hakuna mtu kipato chake kitaongezeka kwa kufanyiana umbeya humu

We ukifanikiwa kumfahamu Mzee Grahams nje ya JF, inatosha, sio umwelezee kwa kila mtu

Mnataka tuanze kutelekeza ID's zetu katika Uzee huu tulionao kweli 😢
 
Wewe babu nikikujua nakuja kukuanika😅🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom