To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 19,643
- 36,013
Inasikitisha sanaImagine watu wanajipa kazi ngumu
Kwamba kua na watoto 2 ni exclusive 🤣🤣🤣
mwenyewe useme mambo yako then mtu ajitie jasusi OMG 😲
Noma sana
Inasikitisha sanaImagine watu wanajipa kazi ngumu
Kwamba kua na watoto 2 ni exclusive 🤣🤣🤣
mwenyewe useme mambo yako then mtu ajitie jasusi OMG 😲
Noma sana
How are things Le madame?What’s up bro?
Kila kitu kinaenda poa,familia vp?How are things Le madame?
baadhi ya AZAKI zilizochochea na zilizofadhili vurugu za Oct.2025,Aliyetengeneza bunduki ya AK 47 kabla ya kifo chake alitubu na kujutia silaha yake ile.. Badala ya kuwa msaada vitani ikawa killing mashine iliyoteketeza mamalioni ya roho zisizo na hatia
Huko Selfika mitupio ilikuwa kwa ajili ya leisure 💪🏿💪🏿🔥
Halafu likatokea kundi hatari la mashushushu.. Likaanza kutengeneza na kuhifadhi mafaili ya watu..
Aisee don't mess with them! Utaikimbia forum! Watazama kwenye server za na kuibuka na vitu vizito.. Confine hata huvijui
Nimeshapewa warning.. "Mlozi tuna faili lako..." View attachment 3588304
Mungu mwema LGOKila kitu kinaenda poa,familia vp?
Mdomo uliponza kichwa mkuu🙄baadhi ya AZAKI zilizochochea na zilizofadhili vurugu za Oct.2025,
waliwakusanya vijana na kuwafunza namna ya kufanya ugaidi na mwishowe wakawapatia vijana hao zana za kazi kama vile visu, mapanga, marungu, bastola na magobole ili wayatumie katika vurugu zile. Waliwapatia mpaka vifaa vya kupiga picha na video za unyama waliokua wanautekeleza.
Je,
baada ya uovu ule kudhibitiwa, kuna AZAKI inajutia kweli kwa kufadhili maafa yale yatokee?
mdomo ndio unaelekea mesi kufanya yake saivi ndugu mdau,Mdomo uliponza kichwa mkuu🙄
Hatufanani mkuu,kupitia hili na lile kuna muda mambo yanaenda.Usiwadharau wanadamu wa jf,kuna watu tumenyanyuliwa kwenye changamoto na watu humu hata sura hatuwafahamuSasa na nyie kwanin mjianike jamvini? Huo uzi kuna kipindi nilikuwa naushobokea nikaona unazua vita kuna kajamaa kalinifuata pm kujaribu kuniweka karibu nikajikata na uzi wenyewe nachungulia juu juu tu siku hizi nipo zangu majukwaa mengine.
Mimi cycle ya nje ya Jf inanitosha kabisa na sihitaji kufahamiana na yeyote humu.
Daaah!baadhi ya AZAKI zilizochochea na zilizofadhili vurugu za Oct.2025,
waliwakusanya vijana na kuwafunza namna ya kufanya ugaidi na mwishowe wakawapatia vijana hao zana za kazi kama vile visu, mapanga, marungu, bastola na magobole ili wayatumie katika vurugu zile. Waliwapatia mpaka vifaa vya kupiga picha na video za unyama waliokua wanautekeleza.
Je,
baada ya uovu ule kudhibitiwa, kuna AZAKI inajutia kweli kwa kufadhili maafa yale yatokee kama alivyojuta mtengeneza AK47?
i'm sorry for truth gentlemanDaaah!
Utoto ni mwingi mno.Achana nao,isikushughulishe kabisa
Wakianika maisha ya mtu mwingine kuna kiasi gani cha pesa wanalipwa?
Nilishangaa sana member Fulani kujitokeza at nina file lako najua unawatoto wawili 😂😂😂 aah nikabaki kushangaa….ndiyo ninao…ni wanangu….so whaat? Ulitaka nitoe…au ulitaka niwe tasa…au nini yaan 🤷🏼♂️
Mambo yangu nayaweka hadharani mwenyewe then uniambie unafile langu…hakika kuna muda elimu haina msaada kwa watu wengine.
Jf ni forum ya watu wazima lakini hatuoneshi utu uzima huo.
Sana sanaUtoto ni mwingi mno.
Hako ka jamaa kalikua shushu nini 🤣Sasa na nyie kwanin mjianike jamvini? Huo uzi kuna kipindi nilikuwa naushobokea nikaona unazua vita kuna kajamaa kalinifuata pm kujaribu kuniweka karibu nikajikata na uzi wenyewe nachungulia juu juu tu siku hizi nipo zangu majukwaa mengine.
Mimi cycle ya nje ya Jf inanitosha kabisa na sihitaji kufahamiana na yeyote humu.
Hatupo kwenye siasa lakini ndugu yangu hamna uwezo wa kujisafisha na lile doa, lile ni jeraha lililo acha kovu la kudumu kwenu, hata mfanye nini hamtasafishika kamwe, hii si leo wala kesho au mtondogoo bali ni daima! Elewa daima.i'm sorry for truth gentleman
AstghafirullahDaaah kilikuwa kijiwe chetu cha kuchit chat. Vidudu mtu sijui hata vilitokea wapi wakaharibu kila kitu. Ila jf ina viumbe jamani🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Bro Kuna mtu anahitaji Mganga konki hukoAliyetengeneza bunduki ya AK 47 kabla ya kifo chake alitubu na kujutia silaha yake ile.. Badala ya kuwa msaada vitani ikawa killing mashine iliyoteketeza mamalioni ya roho zisizo na hatia