Mashushushu wa JF

Mashushushu wa JF

Kwa hio mleta mada unajutia kuanzisha ule uzi?
Hata hivyo umekuwa kilio maumivu fedheha na kila maudhi kwa wengi , haswa kipindi cha hivi karibuni, hakuna alie kuwa active kwenye uke uzi ambae hakufikiwa.

Hata hivyo pamaja na utu uzima walio nao baadhi ya member pale selfika wana utoto mwingi pia.
Sijutii mkuu mfano wa AK 47 unabaki kama ulivyo.. Ule uzi ni mzuri sana lakini kumbuka hakuna highway inayokosa kona miteremko na vibao vya tahadhari
Kila penye zuri baya halikosekani .. Kikubwa ni mizani inaegama wapi
 
Sasa na nyie kwanin mjianike jamvini? Huo uzi kuna kipindi nilikuwa naushobokea nikaona unazua vita kuna kajamaa kalinifuata pm kujaribu kuniweka karibu nikajikata na uzi wenyewe nachungulia juu juu tu siku hizi nipo zangu majukwaa mengine.
Mimi cycle ya nje ya Jf inanitosha kabisa na sihitaji kufahamiana na yeyote humu.
Mkuu kikiboxer ni aina tu ya uandishi na kutaka kuamsha hoja hojaji
 
Daaah kilikuwa kijiwe chetu cha kuchit chat. Vidudu mtu sijui hata vilitokea wapi wakaharibu kila kitu. Ila jf ina viumbe jamani🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Niliwaroga wote.. Sasa usalama kama wa Homuz🤣
 
sema humu JF kuna vi cycle vya kipuuzi mno watu wanasemana live live, kucheka na kusema mapungufu ya wenzio as if kuna alie mkamilifu,, mwanzoni wakati najoin sikuwahi kuviona ila baada ya kuanza kujichanganya na watu ndo nikaanza kuviona,,,

sema kuna makosa nimeyafanya mwishoni kuruhusu wapuuzi wawili kwenye maisha yangu, japo mwanzo sikuhisi kama watageuka mwiba nilihisi watakua sahihi na tungefika mbali ila matokeo yake waligeuka kuwa masnich wa kutupwa😅 kiukweli najuta ila ndo hivyo yashatokea na wamezidi kunikuza,, bad enough ni kwamba mpka saiv nimepokea warning mbili ambazo sizielew,, ila freshiii itajulikana mwisho wacha niendelee kunywa mtori
 
Umemuita Labella na cocastic au nimesoma vibaya..? Haha
 
sema kuna makosa nimeyafanya mwishoni kuruhusu wapuuzi wawili kwenye maisha yangu, japo mwanzo sikuhisi kama watageuka mwiba nilihisi watakua sahihi na tungefika mbali ila matokeo yake waligeuka kuwa masnich wa kutupwa🗡
 
sema humu JF kuna vi cycle vya kipuuzi mno watu wanasemana live live, kucheka na kusema mapungufu ya wenzio as if kuna alie mkamilifu,, mwanzoni wakati najoin sikuwahi kuviona ila baada ya kuanza kujichanganya na watu ndo nikaanza kuviona,,,

sema kuna makosa nimeyafanya mwishoni kuruhusu wapuuzi wawili kwenye maisha yangu, japo mwanzo sikuhisi kama watageuka mwiba nilihisi watakua sahihi na tungefika mbali ila matokeo yake waligeuka kuwa masnich wa kutupwa😅 kiukweli najuta ila ndo hivyo yashatokea na wamezidi kunikuza,, bad enough ni kwamba mpka saiv nimepokea warning mbili ambazo sizielew,, ila freshiii itajulikana mwisho wacha niendelee kunywa mtori
Humu mtu anatafuta ukaribu nawe ili akufahamu then arudi chemba kusagana na wenzie
 
sema humu JF kuna vi cycle vya kipuuzi mno watu wanasemana live live, kucheka na kusema mapungufu ya wenzio as if kuna alie mkamilifu,, mwanzoni wakati najoin sikuwahi kuviona ila baada ya kuanza kujichanganya na watu ndo nikaanza kuviona,,,
Utaona zaidi na zaidi 👀
sema kuna makosa nimeyafanya mwishoni kuruhusu wapuuzi wawili kwenye maisha yangu, japo mwanzo sikuhisi kama watageuka mwiba nilihisi watakua sahihi na tungefika mbali ila matokeo yake waligeuka kuwa masnich wa kutupwa😅 kiukweli najuta ila ndo hivyo yashatokea na wamezidi kunikuza,, bad enough ni kwamba mpka saiv nimepokea warning mbili ambazo sizielew,, ila freshiii itajulikana mwisho wacha niendelee kunywa mtori
Hatuna msaada na wewe wapuuzi wawili uliwapokea mwenyewe 🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom