unachekesha ujue😅, sijawahi kupewa spana na mtu yoyte humu, rudi kapitie notce zako vizuri itakua unachanganya mafailiHahaha, amekula spana mpaka akili imemkaa vizuri saivi
Nachanganyikiwa mjukuu wangu 🏃♀️🏃♀️🏃♀️unachekesha ujue😅, sijawahi kupewa spana na mtu yoyte humu, rudi kapitie notce zako vizuri itakua unachanganya mafaili
bado haujasema😅Nachanganyikiwa mjukuu wangu 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Yakupokea wapumbavu wawili dakk za jioniiiiiiii🏃♀️😅pole ya nini na wew😅
nilijitunza 4yrs akiii alf nikaharibu mwishoniii mwaka wa 5 😅Yakupokea wapumbavu wawili dakk za jioniiiiiiii🏃♀️😅
kabisa da mkubwa, sijui huo u "great thinker " upowapi, sema kwenye msafara wa mamba sikuzote kenge huwa hawakosi na kuna wengine tuna bahati ya kukutana na kenge kila kona alf mamba hawaonekani
Kimekuramba😂kabisa da mkubwa, sijui huo u "great thinker " upowapi, sema kwenye msafara wa mamba sikuzote kenge huwa hawakosi na kuna wengine tuna bahati ya kukutana na kenge kila kona alf mamba hawaonekani
Huyo mpumbavu no unonilijitunza 4yrs akiii alf nikaharibu mwishoniii mwaka wa 5 😅
😅😅😅 ndioooo ni sehemu ya ukubwaKimekuramba😂
sijaelewaHuyo mpumbavu no uno
ndio alifungua mlango
kwa mpumbavu no two ✍️✍️
Acha basi 🤭😅😅sasa wezi wa mabwana nawaambia mtalijua jiji nawapa onyo full stop hii ni challenge full gear hizo type zenu za vichochoroni
sasa je kuna uzi humu nimesahau ilikuwa full michambo tuu na kushusha failz za wengineAcha basi 🤭😅😅
Vimba mkuu.. waambie mtu mzima hatishiwi nyau 😎Aliyetengeneza bunduki ya AK 47 kabla ya kifo chake alitubu na kujutia silaha yake ile.. Badala ya kuwa msaada vitani ikawa killing mashine iliyoteketeza mamalioni ya roho zisizo na hatia
Huko Selfika mitupio ilikuwa kwa ajili ya leisure 💪🏿💪🏿🔥
Halafu likatokea kundi hatari la mashushushu.. Likaanza kutengeneza na kuhifadhi mafaili ya watu..
Aisee don't mess with them! Utaikimbia forum! Watazama kwenye server za na kuibuka na vitu vizito.. Confine hata huvijui
Nimeshapewa warning.. "Mlozi tuna faili lako..." View attachment 3588304
mtani vipi dawa za mali zipo nije kilingeni?No vayolensi today
Pole aisee, kati ya hao wawili wa hivyo kuna na kumi na na mia na maelfu tu watu wema kwa kila mtu.sema humu JF kuna vi cycle vya kipuuzi mno watu wanasemana live live, kucheka na kusema mapungufu ya wenzio as if kuna alie mkamilifu,, mwanzoni wakati najoin sikuwahi kuviona ila baada ya kuanza kujichanganya na watu ndo nikaanza kuviona,,,
sema kuna makosa nimeyafanya mwishoni kuruhusu wapuuzi wawili kwenye maisha yangu, japo mwanzo sikuhisi kama watageuka mwiba nilihisi watakua sahihi na tungefika mbali ila matokeo yake waligeuka kuwa masnich wa kutupwa😅 kiukweli najuta ila ndo hivyo yashatokea na wamezidi kunikuza,, bad enough ni kwamba mpka saiv nimepokea warning mbili ambazo sizielew,, ila freshiii itajulikana mwisho wacha niendelee kunywa mtori