Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,024
- 61,237
Mniombee kwa kweli, watu wana mafile yetu alafu wapo busy kulewa 😂Watu wanalewa na wanajua wana siri za watu shenziiii kabisa
Wakuache babu yangu wasikutangulize mpaka upokee koti la babu
Mjukuu jifunzeni kuwa na vifua, mtatuua babu zenu walahi
Nasubiri kwa hamu hilo koti kwa kweli 😉