Mashushushu wa JF

Mashushushu wa JF

Majasusi wa bamia akina Yericko Nyerere ndio wamekutisha?

Huwa wanakua wapi pale Tanzania ndio mzalishaji pekee wa Tanzanite lakini kiwango kikubwa cha Tanzanite kipo nje ya Tanzania kwenye nchi isiyo na Tanzanite?

Ni maajabu hata pale Premier League tumeshindwa kuwa na label yetu ya "Visit Kilimanjaro" katika moja ya timu.

Leo kinchi kama Rwanda kimetuchapa fimbo katika ligi 3 kubwa ulaya wana lebo yao kwa Arsenal, PSG na Atletico de Madrid.

Majasusi wanajua kumsumbua Lissu na Heche na watu wanaolalamika mafuta kupanda ilhali Zambia inayopitisha mafuta hapo Mzizima wana bei ndogo.
Nawasubiri
7ec9dcbe-5155-4fb0-922f-090eb4a49420.jpeg
65458352-b233-42f1-92c7-0a3cda0ea005.jpeg
3f2de78e-b2f9-47b8-bf0e-b58d6ee7d17c.jpeg
 
Majasusi wa bamia akina Yericko Nyerere ndio wamekutisha?

Huwa wanakua wapi pale Tanzania ndio mzalishaji pekee wa Tanzanite lakini kiwango kikubwa cha Tanzanite kipo nje ya Tanzania kwenye nchi isiyo na Tanzanite?

Ni maajabu hata pale Premier League tumeshindwa kuwa na label yetu ya "Visit Kilimanjaro" katika moja ya timu.

Leo kinchi kama Rwanda kimetuchapa fimbo katika ligi 3 kubwa ulaya wana lebo yao kwa Arsenal, PSG na Atletico de Madrid.

Majasusi wanajua kumsumbua Lissu na Heche na watu wanaolalamika mafuta kupanda ilhali Zambia inayopitisha mafuta hapo Mzizima wana bei ndogo.
Jasusi Mwitu anakuja na story za kubanza.
 
Hawa watu wapambane na mafisadi yanayonunua mikoba ya milioni 13 wakati kuna watoto tunaona picha wanakaa chini darasani na watu wanatumia maji sawa na mifugo yao katika chanzo kimoja.

Waache kutisha wakosoaji maana ukosoaji ni haki ya kikatiba inaangukia katika uhuru wa maoni.
Mtani kukichwa kutapambazuka... Mawio hayako mbali
 
Magufuli alikuwepo leo hayupo , kuna kijana jana wamemtaja huko alikua kwenye kikosi cha utekaji enzi sasa baada ya jiwe kufa kikavunjiliwa mbali kijana amebaki kuwa mlevi wa kupitiliza na kujitenga na jamii baada ya jamii kumkataa , hawa watekaji mnaishi nao mitaani na wanajulikana hawatoki sayari ya Zuhura kuja kuteka watu kisha wakarudi

Watu wajifunze tawala zinabadilika ila matukio na jinao hazifutiki , amri haramu ni haramu tu haijalishi kaitoa nani.
 
Leo kichwa cha marehemu Temba kimepatikana.. Hilo jambo limeniumiza mno. Kwahiyo watapewa familia waweke msiba upya? Wakazike upya? Kwenye kaburi jipya?🙌🏿😭
Au watafukua kaburi wafungue sanduku waunganishe?😭😭😭🙌🏿
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom