Du muzee umeniua mtu wangu..mbavu zangu mieeeeAgness Masogange atakuwa hajamtaja kuhusiana na lile sembe kule south?
Hivi Arusha mmeshinda nini? viti vyenu wenyewe?
.......mlienda kufanya nini sasa kama mlijua kuwa ni viti vyao wenyewe? acha kuwa na mawazo kama Pinda
Umesahau kubambikia kesi kwa msaada wa policcmCCM ina watu wenye akili fupi sana...ndo maana mnashindwa na kuchukiwa......mna fikiria NEGATIVELY tu....Ni ujinga, ushamba na woga...
Tulienda kutalii.
kwa kwa kwa kwaaaaaaaa!!
ushindi?upi huo?
HONGERA CCM ARUSHA
HONGERA WANA WA ARUSHA
![]()
![]()
Rostam Azizi ni mbaya wa chadema kivipi?Ama ulimaanisha ni mbaya wa nchi?2014 tunamrudisha ulingoni mbaya wenu RA aka The King Maker.
Kilichotokea arusha ni sawasawa na kusema bakharesa anunue ice cream kwa wauzaji wa rejareja wakati yeye ndiye mtngenezaji... Simply ushindi ulikuwa wa viti ambavyo vilikuwa chini ya cdm before , nje ya arusha cdm ni sifuri... Kumbukeni tanzania haishii kanda ya kaskazini tu ...
Rostam Azizi ni mbaya wa chadema kivipi?Ama ulimaanisha ni mbaya wa nchi?
The King Maker.