'Mashujaa' hawa ndio walioipa CCM 'Ushindi wa kishindo' Arusha...

'Mashujaa' hawa ndio walioipa CCM 'Ushindi wa kishindo' Arusha...

Lol mbavu zangu, kujianika juani kwa elfu 20... baada ya kichapo hiki nafikiri Tesha kimeota...hivyo anatafuta mteja mwingine wa kuanika juani.. Watanzani kila mtu ajichunge Mwigulu anatafuta mteja wa kumwagia tindikali kwa ajili ya 2014.
Pole Tesha kwa kutumiwa kisiasa na mafisadi.
 
Mada zingine hazina tofauti na taarabu.
Basi tu huku JF zinaitwa Thread.
Mzee Yusuf na Mashauzi wanaita Mashairi.
Kweli Mods vijana wako wa Red Brigade wameishiwa hoja, Mara,Wasira, Mwigulu,Shonza hata kama hakuna cha maana.
Jukwaa lako sio GT bali ni Billicanas.
 
HONGERA CCM ARUSHA

HONGERA WANA WA ARUSHA


992814_508888975850421_972006896_n.jpg
261860_508889015850417_1432131954_n.jpg

Du!!! Machoni magamba, mioyoni magwanda.
 
Kilichotokea arusha ni sawasawa na kusema bakharesa anunue ice cream kwa wauzaji wa rejareja wakati yeye ndiye mtngenezaji... Simply ushindi ulikuwa wa viti ambavyo vilikuwa chini ya cdm before , nje ya arusha cdm ni sifuri... Kumbukeni tanzania haishii kanda ya kaskazini tu ...

hili tatizo lako linaitwa 'political immaturity'.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mada zingine hazina tofauti na taarabu.
Basi tu huku JF zinaitwa Thread.
Mzee Yusuf na Mashauzi wanaita Mashairi.
Kweli Mods vijana wako wa Red Brigade wameishiwa hoja, Mara,Wasira, Mwigulu,Shonza hata kama hakuna cha maana.
Jukwaa lako sio GT bali ni Billicanas.

Umewahi kusikia kitu fulani inayoitwa political tolerance???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi Arusha mmeshinda nini? viti vyenu wenyewe?
Sasa mlichokuwa mnachonga hapa nini? Mwambie demu wenu aje aseme umbea wake hapa tena jualiana Shonza.
 
Last edited by a moderator:
Mada zingine hazina tofauti na taarabu.
Basi tu huku JF zinaitwa Thread.
Mzee Yusuf na Mashauzi wanaita Mashairi.
Kweli Mods vijana wako wa Red Brigade wameishiwa hoja, Mara,Wasira, Mwigulu,Shonza hata kama hakuna cha maana.
Jukwaa lako sio GT bali ni Billicanas.
Ukishashindwa lazima utamke haya...
 
Juliana Choooza ni chakula, chakula ya wazee..! Watakatafuna mpaka mfupa
 
Sasa mlichokuwa mnachonga hapa nini? Mwambie demu wenu aje aseme umbea wake hapa tena jualiana Shonza.

Utafikiri mmepata Urais? sasa hao waliochaguliwa boss wao nani huko wanakokwenda?
 
Huyo jamaa mwenye nguo za jeshi hapo kulia hata sisim anaweza kuitosa akaingia msituni haeleweki huyo!
 
[HONGERA CCM ARUSHA




992814_508888975850421_972006896_n.jpg
261860_508889015850417_1432131954_n.jpg
Hivi Shonza na Mwampamba si walitumwa na CHADEMA kwenda 'kuijenga' CCM na intelijensia ya Bavicha ikamhadaa hata mwenyekiti wao akawapokea kwa mbwembwe wakidhani wamepata? Hadi waje wagundue kuwa tangu yule dokta wa kigoma ambaye jina lake ni kama mtawala wa zamani wa Afrika kusini hadi hawa vijana wapo kazini,CDM itakuwa magogoni tayari kwa kuwashughulikia mafisadi na kina Ighandu. CCM walidhani ni wao tu wajanja kumbe ile filosofi ya kikongwa cha kilwa na babu tingatinga vishapitwa na wakati. Nampongeza Mwigulu kwa pozi lake kwenye picha hiyo wakati wa mafunzo ya Green guard. Sijui ndio ile SMG iliyotumika pale Arusha mara baada ya kurusha bomu? Hongera tena vijana wetu kwa kazi nzuri ya kukijenga chama tayari kwa ushindi. Tulieni na mtarudi wote tukiisha ichinjilia mbali CCM.[/QUOTE]

Savimbi bwana.
 
wanameremeeta wanameremeta mwapamba anameremeta ana mareemetaa vigelegele lumumba
 
Back
Top Bottom