HONGERA CCM ARUSHA
HONGERA WANA WA ARUSHA
![]()
![]()
duu.. Huyu mwigulu chemba ya choo, alipaswa kwenda Akapambane na M23.. Huko DRC CONGO.. katokota katk siasa...
HONGERA CCM ARUSHA
HONGERA WANA WA ARUSHA
![]()
![]()
Umewahi kusikia kitu fulani inayoitwa political tolerance???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
hahahaaaaaaaaa!Yeah, nawakubali sana hawa jamaa, wataijenga sana CCM, huyo mwenye bunduki anatakiwa awe katibu mkuu kamili, chama kitaimarika sana.
sifikiri sana kama wametumwa hawa watu. nadhni huu ni utashi wao tu wa kuamua mamboHaya kweli hayo ni majembe ya shughuli. Msiwaguse tunasubiri wamalize kazi waliyotumwa!
Ubaya wenu mnakimbiaga ukweli na kujifanya.Utafikiri mmepata Urais? sasa hao waliochaguliwa boss wao nani huko wanakokwenda?
huyo ni yule mtalii aliyeko gambaz soon atarudi cdm
hahaaaaaaa!Wanamereta kweli kweli. Hiyo inakuthibitishia kuwa ni washika pembe waadilifu.
Mwigulu kiboko.
Hiyo picha Mwigulu aliipiga akiwa JKT au ni photoshop???