'Mashujaa' hawa ndio walioipa CCM 'Ushindi wa kishindo' Arusha...

'Mashujaa' hawa ndio walioipa CCM 'Ushindi wa kishindo' Arusha...

Umesahau huyu asiejitambua dekio la MwiguluView attachment 102441

Lol mbavu zangu, kujianika juani kwa elfu 20... baada ya kichapo hiki nafikiri Tesha kimeota...hivyo anatafuta mteja mwingine wa kuanika juani.. Watanzani kila mtu ajichunge Mwigulu anatafuta mteja wa kumwagia tindikali kwa ajili ya 2014.
 
hahahaha....huhuhuhuhu hiyo picha ya jul na mtela sijawahi ona viliza kama hao
 
Hivi Arusha mmeshinda nini? viti vyenu wenyewe?
Jamani mpaka sasa hujaelewa tu...ushindi ni kuwa CHADEMA wameonyesha kuwa wano uwezo wa kuwajibishana...bila kujari nani anawajibishwa...katika kukidhi haja ya wananchi kujiletea maendeleo.

Waliweza (CHADEMA) kuwatimua madiwani ambao walionekana ni kikwazo katika kuelekea kupata maendeleo. Na kwa kudhibitisha walifanya jambo sahihi...wananchi wamekubali kuwarudisha madarakani madiwani wa chama hicho.

Nyinyi nidhaifu sana kuwajibishana...mfano mzuri ni jinsi mlivyoshughulikia wale watuhumiwa wa "UFISADI" amabao umepelekea sasa wananchi wote wanalazimishwa kulipia kodi line za simu.
 
Ila wa kushoto kabisa anafaa kitandani. Unaweza kupata mfiko wa nguvu

HONGERA CCM ARUSHA

HONGERA WANA WA ARUSHA


992814_508888975850421_972006896_n.jpg
261860_508889015850417_1432131954_n.jpg
 
Hivi Arusha mmeshinda nini? viti vyenu wenyewe?

Kama viti vilikuwa vyao Savimbi alifuata nini akiwa na Tesha? Mbona ingewezekana tu kusema hakuna sababu ya uchaguzi kwani after all hizo kata ni zenu. Mbona kazi ilikuwa kubwa kana kwamba ni general election?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Magamba kazeni uzi nchi nzima mwendo huohuo, mko vizuri magamba jamani.
Nawaravu hawa magamba.
 
2014 tunamrudisha ulingoni mbaya wenu RA aka The King Maker.

CCM ina watu wenye akili fupi sana...ndo maana mnashindwa na kuchukiwa......mna fikiria NEGATIVELY tu....Ni ujinga, ushamba na woga...
 
CCM ina watu wenye akili fupi sana...ndo maana mnashindwa na kuchukiwa......mna fikiria NEGATIVELY tu....Ni ujinga, ushamba na woga...

Tatizo pale watu wenye akili fupi wanapowatawala watu wenye akili ndefu? au hulioni hilo?
 
Tatizo pale watu wenye akili fupi wanapowatawala watu wenye akili ndefu? au hulioni hilo?[/QUOT.............CCm mmechoka akili ....hamfikirii tena sijui kwenye vikao mkikaa mnaongea nini.....hamna kitu constructive mnakuja nacho....mkitoa matamko ni CDM...itakufa...CDM chama cha wachaga...Hamuongei kitu cha maana kikaeleweka......angalia hapo mfano mdogo badala ya kutoa strategy inayoeleweka ...UNAONGEA kUMRUDISHA ROSTUM KWENYE CHAMA....NI UPUMBAVU NA WOGA.....AKILI KAMA ZA KUKU BWANA...
 
zomba; Unachojaribu kutuaminisha kwamba CHADEMA kushinda zile kata 4 ilikuwa lazima, sasa kwanini mlisimamisha wagombea wenu au ndo uroho wa madaraka ili kuimarisha uzito wa magamba? Pili, umesahau kwamba ulikuwa mmoja wa makada walioshadadia uzi wa shemeji yako Stella Mwampamba kwamba CCM mtaibuka kidedea?
 
Last edited by a moderator:
Why boasteth thyself
Oh, evil men
Playing smart
And not being clever?
I said, you're working iniquity
To achieve vanity (if a-so a-so)
But the goodness of Jah, Jah
I-dureth for-I-ver
So if you are the big tree
We are the small axe
Ready to cut you down (well sharp)
To cut you down
These are the words
Of my master, keep on tellin' me
No weak heart
Shall prosper
And whosoever diggeth a pit
Shall fall in it, fall in it
And whosoever diggeth a pit
Shall fall in it (... fall in it)
If you are the big tree, let me tell
you that
We are the small axe, sharp and
ready
Ready to cut you down (well sharp)
To cut you down
(To cut you down)
(To cut you down)
These are the words
Of my master, tellin' me that
No weak heart
Shall prosper
And whosoever diggeth a pit
Shall fall in it, uh, bury in it
And whosoever diggeth a pit
Shall bury in it, uh (... bury in it)
If you are the big, big tree
We are the small axe
Ready to cut you down (well sharp)
To cut you down
If you are the big, big tree, let me
tell you that
We are the small axe
Ready to cut you down (well sharp)
To cut you down
Sharpened ...
 
zomba; Unachojaribu kutuaminisha kwamba CHADEMA kushinda zile kata 4 ilikuwa lazima, sasa kwanini mlisimamisha wagombea wenu au ndo uroho wa madaraka ili kuimarisha uzito wa magamba? Pili, umesahau kwamba ulikuwa mmoja wa makada walioshadadia uzi wa shemeji yako Stella Mwampamba kwamba CCM mtaibuka kidedea?

Kata nne hizo hazikuwa na umuhimu sana kwa sasa kwetu, kwani haziwasaidii kitu, tutazikomboa wakati wake maalum.
 
Muulize mwigulu alivyohonga kata ya kimandolu na themi, umesahau kile kiti chenu cha daraja mbili pia tulikichukua? na soon tunaenda kukichukua kile cha sombetini kwi kwi kwi kwi

Dah! Ccm wanachofanyiwa na chadema safari hii hadi nasikia huruma, kumbe kuna sombetini! Yaani ni sawa na jamaa mbabe anamchukua demu wako mbele yako..
 
Hongera mwigulu hongera shonza kazi yenu ya arusha matunda tumeyaona
 
Back
Top Bottom