'Mashujaa' hawa ndio walioipa CCM 'Ushindi wa kishindo' Arusha...

'Mashujaa' hawa ndio walioipa CCM 'Ushindi wa kishindo' Arusha...

hapo walikuwa dar~ magomeni bondeni hotel sijui walitoka chumbani kwanza au? yani akili zao za kitoto sana wakikua wataacha tu

wachini sitaki kucomment chochote kwani yeye ni mchumi wa daraja la 1

MHIMU NI ELIMU KWA KILA MTU...M4C.
hawatuachane nao.
 
Hivi Arusha mmeshinda nini? viti vyenu wenyewe?

Muulize mwigulu alivyohonga kata ya kimandolu na themi, umesahau kile kiti chenu cha daraja mbili pia tulikichukua? na soon tunaenda kukichukua kile cha sombetini kwi kwi kwi kwi
 
Muulize mwigulu alivyohonga kata ya kimandolu na themi, umesahau kile kiti chenu cha daraja mbili pia tulikichukua? na soon tunaenda kukichukua kile cha sombetini kwi kwi kwi kwi

Jaribuni bahati yenu kabla hatujawasambaratisha.
 
Yeah, nawakubali sana hawa jamaa, wataijenga sana CCM, huyo mwenye bunduki anatakiwa awe katibu mkuu kamili, chama kitaimarika sana.
 
HONGERA CCM ARUSHA

HONGERA WANA WA ARUSHA


992814_508888975850421_972006896_n.jpg
261860_508889015850417_1432131954_n.jpg

Umesahau huyu asiejitambua dekio la MwiguluView attachment 102441
 
Kama savimbi wa unita. Itikadi yake ilikua yeye kuwa rais wa angola (hata ikibidi waangola wote kufa). Alipenda sana uniform ya jeshi na kuvaa beret yenye nyota tatu

picha ya kwanza kama wanaingia guest house vile! I like to test in green uniform Na picha ya pili kama anakunya huku akiangalia adui vile ! I like to shit it out before i surrender ,
 
Agness Masogange atakuwa hajamtaja kuhusiana na lile sembe kule south?

Isije ikawa la Mbowe? maana nasikia alikwenda huko juzi mbio mbio karudi moja kwa moja polisi.
 
Back
Top Bottom