Mashoga zangu wamenikimbia wote

Mashoga zangu wamenikimbia wote

Furaha yako inatokana na wewe mwenyewe. Huhitaji mtu mwengine

nimepapenda hapo penye blue,ingawa kuna uhitaji mkubwa na muhimu wa wengine ili kukamilisha hiyo furaha...lakn kama wamekukimbia bila sababu hao sio marafiki ni wazandiki,....................live your life
 
achana nao....urafiki na wanawake huwa ni wa mashaka sana....tafuta marafiki wengine (wa kiume sana sana) na utaenjoy.....this is from my experience

Its true_hata mimi na marafiki wengi tu wa kike na wanasema kama unavyosema,....utata unaanza pale ninapokua tungi sichelewe kuwataka kimapenzi.......joke
 
tatizo unawafungia vioo na hiyo kofia yako...huivui? au beauty pia imekwisha mvuto unaelekea kwenye mswaki <b><font color="#ff0000">(F)</font></b> lol
<br />
<br /> mhh huo uchokozi sasa, kwataarifa yako mi mpoleee hunipati ng'ooo
 
tuungane hata mimi sina shoga ni pm
 
Ndugu zangu wapendwa wana jf naombeni msaada wenu wa dhati maana ninyi ndio marafiki zangu wa karibu sana.
Kuna kipindi nilikua na marafiki wengi sana nawalikuwa na upendo wa dhati kwangu nanilikua naelewana na wote chakushangaza baadhi ya haohao mashoga zangu walikua wananikataza nisiwe na urafiki na wengine kitu ambacho mimi siwezi sijakosana na mtu kwanini nimchunie? Cha ajabu wamenipandishia viöo kila mtu kwa siku yake na hadi
wote wameisha bila kugombana wala nini
yaani sasa hivi roho inaniuma sina rafiki hata
mmoja najisikia upweke mkubwa sana kila nikijitaidi kujipendekeza kila mmoja an
adai yuko busy jamani nisaidieni mie nifanyeje?
Upweke unaumiza au tatizo ni umaskini wangu maana wao wako swafi











0


00




0

Hivi shoga ina maana sawa sawa na rafiki?
 
achana nao....urafiki na wanawake huwa ni wa mashaka sana....tafuta marafiki wengine (wa kiume sana sana) na utaenjoy.....this is from my experience
Mimi wanawake huwa mnanishangaza sana. Sasa hebu ona kauli kama hizi, halafu utakuta mtu kama wewe ameshupaa anadai haki sawa..........wakati deep down you are already putting your gender down.
 
mbon umesema hapa jf ndo marafiki zako wa karibu?..waliokukimbia wapi hao tena
 
achana nao....urafiki na wanawake huwa ni wa mashaka sana....tafuta marafiki wengine (wa kiume sana sana) na utaenjoy.....this is from my experience
Aiseee Preta namba niwe rafiki yako mimi nipo karibu na Kericho nina sifa zote za rafiki na siyo mnafiki! Aiseee nimejifagilia mpaka nimeogopa Preta please, tehe tehe tehe tehe.
 
mbon umesema hapa jf ndo marafiki zako wa karibu?..waliokukimbia wapi hao tena
<br />
<br /> heeheee! Haya bwana
unataka kuniaribia eee?
 
mashoga wa kike wanoko sana wanapenda hitlafu mii yashanitokea nimeamua kuwa na maisha yangu na kujifurahisha mwenyewe. Nakula, napika nasoma kitabu, naenda shopping with sibling naenda shule namalizia na fb, and jf the whole day and little sleeping
 
We niajee..ulizaliwa nao???
Aaaghhh... Me nna company ile tu nikiwa na shughuli nisikose watu ila shostiz wa karibu n wawil tu tena nmekuwa nao karibu bcoz atlst i can gain smthn from them.
Na si karibu kiviiile...kikawaida tu . Na friends wakiume wapo pia kiaina si close sana.
Ishi na rafiki kiakili,mjali kama anakujali na mpende ila usimuamini.
Now its time for u kujipanga upya, wapotezee ukijisogeza utakuwa ki-puppy chao.
Be expensive hata kama huna hela.
Akunyimae maharage kakupunguzia mashuzi.
Ni muda sasa Jipange.. Bora kuwa alone than kuwa na fake friends.
Goodlucky dear
 
Back
Top Bottom