Mashoga zangu wamenikimbia wote

Jipende mwenyewe... marafiki ni kama kachumbari kwenye chakula..HATA BILA KINALIKA na kama ni kizuri kitanoga tu!!

shosti mbona unataka kujitwisha dhiki za dunia na shoga wa kike? mie sina na wala sijuti mwanamme atakueleza mengi ya mana na atakulinda,
mashoga zaidi ya umbea na choyo kingi, ukiwa na kizuri ooooooh ! kahongwa umesimama na mume wa mtu ooooooo anamnyemelewa mume wa flani basi ilimradi dhiki moja kwa zote.

achana nao....urafiki na wanawake huwa ni wa mashaka sana....tafuta marafiki wengine (wa kiume sana sana) na utaenjoy.....this is from my experience

wakiume sikushaur watakutongoza mpaka uchoke

bado nakumbuka thread yako ya nyuma inayomhusu baba yako, ngoja niunganishe dots kwanza, nitarudi na ushauri mzuri tu mpendwa

uwe na amani

Elewana na watu lakini siyo lazima uwe na shoga.Hawa mashoga ndio watakuumiza sana hapo baadaye.Wanaume nao sikushauri saana kwani wengine wanakosa uvumilivu wanakutongoza hapo ndio inakuwa mbaya zaidi.

sasa mbona hao inaonekana dhahiri sio watu wazuri kabisa? bibie kuwa mpole na wala roho isikuume na pia mshukuru mungu wamekutosa, wangekufundisha tabia mbaya sana ya kuwachukia na kuwatenga binadamu wenzio!!!!!!!!!!!!! furahi kwa kuwa una marafiki wa kweli JF

na wewe una matatizo
huwezi kuwa na marafiki weengi mno na hutaki kuchagua marafiki.....

huwezi kuwa best friend wa kila mtu........

lazima uwe na rafiki mmoja au wawili wa karibu,wengine kwa mbaali hivi...

Ndugu zangu wapendwa wana jf naombeni msaada wenu wa dhati maana ninyi ndio marafiki zangu wa karibu sana.

Kuna kipindi nilikua na marafiki wengi sana nawalikuwa na upendo wa dhati kwangu nanilikua naelewana na wote chakushangaza baadhi ya haohao mashoga zangu walikua wananikataza nisiwe na urafiki na wengine kitu ambacho mimi siwezi sijakosana na mtu kwanini nimchunie? Cha ajabu wamenipandishia viöo kila mtu kwa siku yake na hadi

wote wameisha bila kugombana wala nini

yaani sasa hivi roho inaniuma sina rafiki hata

mmoja najisikia upweke mkubwa sana kila nikijitaidi kujipendekeza kila mmoja an

adai yuko busy jamani nisaidieni mie nifanyeje?

Upweke unaumiza au tatizo ni umaskini wangu maana wao wako swafi

0

00

0

Be yourself. Kama hujagombana nao isikupe tabu. Ishi maisha yako.

inawezekana kwa kuwa baba yako alikutelekeza
umekuwa na tabia za kuwa nice to everyone na kuogopa kutelekezwa
so hiyo tabia itakufanya uonekane mnafiki kwa wengine....
punguza kuwa nice to people
anza kujipenda zaidi mwenyewe

mimi marafiki zangu ni wachache mno,na maisha yanaendelea.usiishi kwa kutegemea marafiki,ji keep busy na maisha yako,fanya kitu ambacho unapenda.ukiwa busy,hujihisi kama umepungukiwa na marafiki

achana nao....urafiki na wanawake huwa ni wa mashaka sana....tafuta marafiki wengine (wa kiume sana sana) na utaenjoy.....this is from my experience
si ana mpenzi wake? unafikiri atapewa ruhusa ya kuwa na mahusiano ya karibu na wanaume na bwana wake hata kama ni urafiki wa kawaida?
au hana wivu nae?

sasa mbona hao inaonekana dhahiri sio watu wazuri kabisa? bibie kuwa mpole na wala roho isikuume na pia mshukuru mungu wamekutosa, wangekufundisha tabia mbaya sana ya kuwachukia na kuwatenga binadamu wenzio!!!!!!!!!!!!! furahi kwa kuwa una marafiki wa kweli JF

Hayo maneno thanx 1born

na wewe una matatizo

huwezi kuwa na marafiki weengi mno na hutaki kuchagua marafiki.....

huwezi kuwa best friend wa kila mtu........

lazima uwe na rafiki mmoja au wawili wa karibu,wengine kwa mbaali hivi...

hilo nalo neno ze bous

Hapo napo inabidi awe makini sana, urafiki wa wanaume huwa very trick unaweza kuishia kuliwa uroda na mtu uliyetaka muwe washikaji au mkagombana na rafiki uliyemzoea.
Kuliwa uroda wakati gani, akiwa amelewa au usingizini?
Hivyo kwani na hao marafiki wa kike alokuwa nao walikuwa wanakulana uroda?
Mtu hula/huliwa uroda iwapo tu anataka; na kama anataka,
kuna ubaya gani kula uroda na rafiki.
Si uroda tu, halafu mnaendelea na urafiki wenu?

thanks.......

Back
Top Bottom