Mashoga zangu wamenikimbia wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashoga zangu wamenikimbia wote

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Loly, Aug 28, 2011.

 1. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu wapendwa wana jf naombeni msaada wenu wa dhati maana ninyi ndio marafiki zangu wa karibu sana.
  Kuna kipindi nilikua na marafiki wengi sana nawalikuwa na upendo wa dhati kwangu nanilikua naelewana na wote chakushangaza baadhi ya haohao mashoga zangu walikua wananikataza nisiwe na urafiki na wengine kitu ambacho mimi siwezi sijakosana na mtu kwanini nimchunie? Cha ajabu wamenipandishia viöo kila mtu kwa siku yake na hadi
  wote wameisha bila kugombana wala nini
  yaani sasa hivi roho inaniuma sina rafiki hata
  mmoja najisikia upweke mkubwa sana kila nikijitaidi kujipendekeza kila mmoja an
  adai yuko busy jamani nisaidieni mie nifanyeje?
  Upweke unaumiza au tatizo ni umaskini wangu maana wao wako swafi  0


  00
  0
   
 2. u

  utantambua JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Usijali mkuu, adhaniaye amesimama angalie asianguke, wao wajanja leo sababu ni kama wana conspire lakini uzoefu unaonesha wote wanaofanya njama flani baada ya muda huhitilafiana wao kwa wao! Ni suala la muda tu watarudi kwako mmoja baada ya mwingine na story kibao za kujishaua kujitoa guilty. Hata hivyo wasiporudi kwako pia usivunjike moyo haya ni maisha tu utapata marafiki wengine ambao ukiwa nao utapata amani ya kweli
   
 3. F

  FredKavishe Verified User

  #3
  Aug 28, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kuwa rafiki yangu hutajuta hao walikuwa kimaslai zaid
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Furaha yako inatokana na wewe mwenyewe. Huhitaji mtu mwengine
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  achana nao....urafiki na wanawake huwa ni wa mashaka sana....tafuta marafiki wengine (wa kiume sana sana) na utaenjoy.....this is from my experience
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  u dont have to have anybody or anything to be happy! usikubali furaha yako kuzunguka ama kutegemea watu wengine, utavunjika moyo! hebu ishi maisha yao,wape gredi hao ndo wanavyotaka kuishi yao. tafuta hobby mpya,chukua kitabu chako nenda pwani ama porini, jilaze usome uone utakavyofurahia maisha. who knows, labda utapata idea ya jinsi ya kutoka na wewe!
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hapo napo inabidi awe makini sana, urafiki wa wanaume huwa very trick unaweza kuishia kuliwa uroda na mtu uliyetaka muwe washikaji au mkagombana na rafiki uliyemzoea.
   
 8. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ni vizuri kuwa na marafiki wengi lakini si lazima kuwa na marafiki wengi hata kama ni wabaya na wanafiki!

  Furaha ya kweli iko kichwani kwako!
   
 9. njiro

  njiro Senior Member

  #9
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 106
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  be your own best friend. Kitu kikubwa ni kuangalia destiny yako, malengo yako yawe ya kwanza, try to fullfill them, at the end you will never fill lonely
   
 10. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole sana! Achana nao we kuwa seriouc2 na mambo yako 1dei watakuja wenyewe2 marafiki,ndugu wapo wengi sana2 Jf pia ni mahala pazuri sana kuchange ur i'deas na utaenjoy sana2!
   
 11. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wao wakikuona wewe wa nini na wewe waone wao wa kazi gani! enjoy life mdada wasikusumbue kichwa, hawa-worth your friendship!!!
   
 12. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #12
  Aug 28, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Ndio madhara ya kutegemea binadamu...mfanye Mungu kuwa rafiki na mfariji wako siku zote.
   
 13. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Rafiki wa ukweli ni yule akupaye punzi na uhai kwan huyo anakujali kwa mengi,huyo ndo aliyekufanya uwepo hapo ulipo.mwingine ni wewe na nafsi yoko,furaha au aman ya mtu haitengenezwi kwa kutegemea mashost,ndio maana siku ukiwa boared hata akufate best wako sana akitaka mtoke out kama nafsi haijisikii hana uwezo wa kubadilisha maamuz yako kama hujisikii kutoka out..rafiki mwingine wa ukweli atakayekufanya uyajue ambo mengi na uwe na furaha muda wote unapokuwa naye ni JF:Izoee halafu utatupa majibu,utajua kwa nini mpaka saa 9 za usiku watu wake au waume za watu wankuwa jamvin wanabrowse badala ya kuhudumia ndoa zao night.
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  kwa nini ung'ang'anie mijitu isiyokujali? Kwa maelezo yako hao mashost kuna kitu walikua wananufaika kutoka kwako. Maisha mafupi, mjali anayekujali, asiyekujali tupa kuleeeeeeeeeeeeeeee....... Mashost kiyu gani banaaa
   
 15. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  umepotelea wapi wewe,upo?
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Mie ndo maana sina rafiki wa kike kabisa
   
 17. M

  Mutukwao JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Everyone desires happiness,its an ingridient of suc's.pple uar hunging around may or may nt contribute 2uar hapnes.furaha jipe mwenyewe shogaz wape only 1percnt of uar hpnes contribuation.
   
 18. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  labda una tabia ya kung'ang'aniza urafiki, na wao wamekuchoka? Labda wanahisi kwamba unawagombanisha? Hebu jichunguze kwanza isijekuwa wewe mwenyewe ndiyo tatizo kabla hatujawahukumu hao marafikizo...
   
 19. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ni mikia ya fisi......
   
 20. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Eeh,mama wanawake ha2na urafki kbs.find me nktoe upweke cz am much interestd na charting
   
Loading...