Mashoga zangu wamenikimbia wote

Kuliwa uroda wakati gani, akiwa amelewa au usingizini?
Hivyo kwani na hao marafiki wa kike alokuwa nao walikuwa wanakulana uroda?
Mtu hula/huliwa uroda iwapo tu anataka; na kama anataka,
kuna ubaya gani kula uroda na rafiki.
Si uroda tu, halafu mnaendelea na urafiki wenu?
hilo nalo neno.kama raha mnapata wote wawili

Pole lakini elewa hivi: "ni heri kuwa na maadui wengi kuliko marafiki wanafiki"

Nmh nimegundua wadada wengi humu ndani hawana magirlfriends! Nilifikiri peke yangu!

Ushoga mara nyingi huwa around umbea na huishia kugombana! Elewana na wengi, uwe na rafiki mmoja tu! Hata kwa huyo rafiki usijiachie maisha yako wazi mno!

Wanaume makes better friends, kuliko sisi kwa sisi! Why wataalamu wataeleza! Jf ni social club nzuri tu; unapata ushauri ukikwaza! With fake identity u can ask anything n ur secret remain with pseudo-you!

Kuliwa uroda wakati gani, akiwa amelewa au usingizini?
Vyovyote vile asipokuwa makini.

Hivyo kwani na hao marafiki wa kike alokuwa nao walikuwa wanakulana uroda?
Hao wa kike si sawa na wanaume, motives za urafiki zinaweza kuamua ndio maana ni muhimu awe makini.

Mtu hula/huliwa uroda iwapo tu anataka; na kama anataka

Kama atataka concern yangu haitakuwa na maana tena maana hilo la kuwa makini somehow litakuwa limezingatiwa

kuna ubaya gani kula uroda na rafiki.
Hakuna ubaya as long as tokea unaanza huo urafiki unalenga kuliwa uroda, in that case huna hata haja ya kuanza kusaka rafiki badala yake tafuta tu mtu akule uroda ndio umfanye rafiki.

Si uroda tu, halafu mnaendelea na urafiki wenu?

Du uroda tu? kuna watu mnachulia kuvua chupi kama kufungua soda tu, kwa wengine sisi ni big deal na uamuzi wa kula uroda unafikiliwa thoroughly

mhh pole but mimi nitakushauri achana nao kwani huna ndugi zako wa kike au wa kiume uwe unapiga nao story mie kwa kweli sina rafiki hata mmoja mie rafiki yangu mama angu na ndugu zangu bas napiga nao story na nipo happy dear achana nao kwanza rafiki sio wazuri wanaharibu sana hasa pale utakopata boyfriend ndo kabisa wanachonganisha na maneno ya uongo achana nao

una miaka mingapi....? unakaa kwenu? ni mwanafunzi..? nijibu nikusaidie? una ajira?

Nmh nimegundua wadada wengi humu ndani hawana magirlfriends! Nilifikiri peke yangu!

Ushoga mara nyingi huwa around umbea na huishia kugombana! Elewana na wengi, uwe na rafiki mmoja tu! Hata kwa huyo rafiki usijiachie maisha yako wazi mno!

Wanaume makes better friends, kuliko sisi kwa sisi! Why wataalamu wataeleza! Jf ni social club nzuri tu; unapata ushauri ukikwaza! With fake identity u can ask anything n ur secret remain with pseudo-you!

TUKO WENGI MIMI MMOJAWAPO

Niliwah kupita hapo ulipo sa hv ila nilibadili mtazamo na kudevelop hobby mpya, kuwatch muvi, kusoma na pia kuchat mtandaoni. Now days sihitaji friend to be happy....! Try to do smthng new bhana!

una miaka mingapi....? unakaa kwenu? ni mwanafunzi..? nijibu nikusaidie? una ajira?

nina miaka 26 umri umeenda kidogo, niko kwangu na ninaajira baadhi ya marafiki ni wahukohuko job basi tabu kweli

Ndugu zangu wapendwa wana jf naombeni msaada wenu wa dhati maana ninyi ndio marafiki zangu wa karibu sana.
Kuna kipindi nilikua na marafiki wengi sana nawalikuwa na upendo wa dhati kwangu nanilikua naelewana na wote chakushangaza baadhi ya haohao mashoga zangu walikua wananikataza nisiwe na urafiki na wengine kitu ambacho mimi siwezi sijakosana na mtu kwanini nimchunie? Cha ajabu wamenipandishia viöo kila mtu kwa siku yake na hadi
wote wameisha bila kugombana wala nini
yaani sasa hivi roho inaniuma sina rafiki hata
mmoja najisikia upweke mkubwa sana kila nikijitaidi kujipendekeza kila mmoja an
adai yuko busy jamani nisaidieni mie nifanyeje?
Upweke unaumiza au tatizo ni umaskini wangu maana wao wako swafi 0
Usisononeke sana, nafasi za urafiki kwangu ziko tele. Karibu sana sana

Niliwah kupita hapo ulipo sa hv ila nilibadili mtazamo na kudevelop hobby mpya, kuwatch muvi, kusoma na pia kuchat mtandaoni. Now days sihitaji friend to be happy....! Try to do smthng new bhana!

sabry nawewe yalishawahi kukukuta? Siumeona ilivyotabu ee? Namimi nabadili mtazamo ni jf tuu sitaki shoga tena nimekoma

bado nakumbuka thread yako ya nyuma inayomhusu baba yako, ngoja niunganishe dots kwanza, nitarudi na ushauri mzuri tu mpendwa

uwe na amani

Miss Judith hata mimi umeniwahi nilitaka kusema hicho hicho, mimi nashauri ajichunguze kwanza yeye kabla ya kuwalalamikia hao rafiki zake.

Eeh,mama wanawake ha2na urafki kbs.find me nktoe upweke cz am much interestd na charting

Inawezekana kweli wanawake hamnaga urafiki wa kweli, Nnapofanya kazi kuna wanawake wawili halafu hawaelewani.

Ndugu zangu wapendwa wana jf naombeni msaada wenu wa dhati maana ninyi ndio marafiki zangu wa karibu sana.

Kuna kipindi nilikua na marafiki wengi sana nawalikuwa na upendo wa dhati kwangu nanilikua naelewana na wote chakushangaza baadhi ya haohao mashoga zangu walikua wananikataza nisiwe na urafiki na wengine kitu ambacho mimi siwezi sijakosana na mtu kwanini nimchunie? Cha ajabu wamenipandishia viöo kila mtu kwa siku yake na hadi

wote wameisha bila kugombana wala nini

yaani sasa hivi roho inaniuma sina rafiki hata

mmoja najisikia upweke mkubwa sana kila nikijitaidi kujipendekeza kila mmoja an

adai yuko busy jamani nisaidieni mie nifanyeje?

Upweke unaumiza au tatizo ni umaskini wangu maana wao wako swafi

0

00

0

story yako ina pengo linaonyesha wewe ndo tatizo,rafiki lazima mlandane tabia

Mashoga wa kazi gani sasa? Watakuletea umbea tu na majungu. Hao hao unaoweza kusalimiana nao kama ni majirani au wafanyakazi wenzio wanatosha.

nina miaka 26 umri umeenda kidogo, niko kwangu na ninaajira baadhi ya marafiki ni wahukohuko job basi tabu kweli
tatizo unawafungia vioo na hiyo kofia yako...huivui? au beauty pia imekwisha mvuto unaelekea kwenye mswaki (F) lol

Back
Top Bottom