Shamba la bwana joni, mbuzi wa bwana joni.Watueleze na adhabu wanazopewa kwa kufanya ukaidi
Du kweli wakati si milele hata wewe?Badala ya kujibu wenyewe ambao hawajakaguliwa kuna watu watakuja sema lengo ni kumdhalilisha Marehemu.
Huwa wananishangaza sana hawa watu, maana haina sababu kuweka wazi hizi mambo zao ilihali hakuna hatua zozote wanazotaja baada ya hapo.Shamba la bwana joni, mbuzi wa bwana joni....
Kesi ya tumbili hapelekewi nyani
Ma CEO wanayafanya haya Makampuni kama Yao ni kama miungu watu.Huwa wananishangaza sana hawa watu, maana haina sababu kuweka wazi hizi mambo zao ilihali hakuna hatua zozote wanazotaja baada ya hapo...
Utasikia tu CEO katumbulia, akija mwingine business as usual
Kata matawi acha mizizi ili mti uchipue tenaHuwa wananishangaza sana hawa watu, maana haina sababu kuweka wazi hizi mambo zao ilihali hakuna hatua zozote wanazotaja baada ya hapo...
Utasikia tu CEO katumbulia, akija mwingine business as usual
hao na TTCL . wana madudu kama yote. walazimishwe by forceHao Tanesco hata sishangai kama wamekimbia.
Huko ndio jikoni kwa wizi.Hao Tanesco hata sishangai kama wamekimbia.
Watueleze na adhabu wanazopewa kwa kufanya ukaidi
Haya mashirika yamepigwa Sana na mwendazakeWatueleze na adhabu wanazopewa kwa kufanya ukaidi