Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri | Page 34 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by day 24, May 30, 2011.

 1. d

  day 24 Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wanajamvini,

  Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga.

  Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana, nitashukuru kwa msaada wenu.


  --------------------


   
 2. F

  FalconBoy Member

  #661
  Oct 30, 2016
  Joined: Sep 17, 2016
  Messages: 9
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 5
   
 3. F

  FalconBoy Member

  #662
  Oct 30, 2016
  Joined: Sep 17, 2016
  Messages: 9
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 5
  Unauza sh ngap mm naitaj #621004002
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #663
  Oct 30, 2016
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,684
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
 5. D

  DR. Mlay Member

  #664
  Nov 2, 2016
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Binafsi hii project ya kuku imenigusa sana, hasa kuhusu his machine so nilijaribu kupiga hatua moja mbele nikajaribu kuwauliza watu wa sido wakaniambia zina range kuanzia 350,000/= na kuendelea kulinga na uwezo wa mashine.
   
 6. Mgboss

  Mgboss JF-Expert Member

  #665
  Nov 2, 2016
  Joined: Jul 7, 2016
  Messages: 498
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 80
  Mimi natumia incubator ndogo za kichina, bei nafuu na ni automatic control, (automatic computer control) inajigeuza yenyewe kazi yako ni kuweka maji na gharama za umeme, mayai 380.
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #666
  Nov 2, 2016
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,684
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Bei yake ikoje?
   
 8. l

  livingjohn kiria Member

  #667
  Nov 6, 2016
  Joined: Jan 7, 2016
  Messages: 20
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Kwa mahitaji ya mashine za kutotolea vifaranga kuanzia mayai 42 mpaka 8000 wasiliana nasi GODSON POURTY SOLUTION 0689350805 au 0621699422 au livingjong7@yahoo.com pia kwa mahitaji ya vifaranga wa aina zote karibuni
   
 9. Mgboss

  Mgboss JF-Expert Member

  #668
  Nov 6, 2016
  Joined: Jul 7, 2016
  Messages: 498
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 80
  1478428185436.jpg zinacheza kwenye 2ml up 5ml
   
 10. h

  hiimu Member

  #669
  Nov 7, 2016
  Joined: Oct 18, 2016
  Messages: 21
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Hiyo Hodson iko wapi?
   
 11. l

  livingjohn kiria Member

  #670
  Nov 7, 2016
  Joined: Jan 7, 2016
  Messages: 20
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Tupo moshi ila tanzania nzima ukiitaji bidhaa zetu unatumiwa
   
 12. h

  hiimu Member

  #671
  Nov 10, 2016
  Joined: Oct 18, 2016
  Messages: 21
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Hii mchine ya mayai 42 inakuja inatolewa na accessory gani zaidi?
   
 13. l

  livingjohn kiria Member

  #672
  Nov 14, 2016
  Joined: Jan 7, 2016
  Messages: 20
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Inakuwa Na cable mbili moja kwa ajili ya umeme wa kawaida Na nyingine kwa ajili ya sola pia ina kila kitu yaani ni full automatic
   
 14. MILCAH28

  MILCAH28 JF-Expert Member

  #673
  Nov 23, 2017
  Joined: Jul 9, 2014
  Messages: 1,096
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Pata kuku wataamu kabisa kujiramba mwanzo mwisho
  ( *Wakienyeji* ) wakubwa wa kutoshaaa 20, 000tsh @1..

  *_oda ya kuanzia Kuku 7 unapata punguzo_ ...*
  * _Popote ulip0 dar unaletewa..*_

  CALL-0752-109265
   
 15. S

  Shaban Rajab Member

  #674
  Dec 2, 2017
  Joined: Nov 1, 2017
  Messages: 79
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 25
  Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!
  Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji(Kuroiler) kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya kutotolesha yanapatikana kwa order.

  Bei ya tray moja ni elfu kumi tu(10,000tsh) ninapatikana Dar es salaam Tegeta-Madale na ukitaka tray kuanzia kumi unaletewa popote ulipo bure ila ukihitaji pungufu ya hapo utatoa nauli nusu na sisi tutakuchangia nusu..kwa mawasiliano zaidi 0769345032 au 0654250816 karibuni sana.
   
 16. Daviie

  Daviie JF-Expert Member

  #675
  Jan 24, 2018
  Joined: May 20, 2016
  Messages: 652
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 180
  wakuu habari zenu. Nataka kuagiza incubator ndogo tu ya mayai machache kama 48 hivi. Sasa kabla sijaingia mkenge nipate ushuhuda hapa maana kwenye wengi pana mengi, isije nikaagiza kumbe kimeo hakifanyi kazi
  [​IMG]
  Nani anaexpirience na hii kitu ?
   
 17. Daviie

  Daviie JF-Expert Member

  #676
  Jan 24, 2018
  Joined: May 20, 2016
  Messages: 652
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 180
  Hizi zinatumia solar na bei yake kwa hiyo ya mayai 48 ni USD 36 tu. Mwenye kuzifahamu vyema atiririke tafadhali
   
 18. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #677
  Jan 29, 2018
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 12,433
  Likes Received: 3,095
  Trophy Points: 280
  Msaada muuzaji wa tray za kuwekea Mayai kwenye
  Incubator jijini Dar es salaam.
   
 19. J

  John72msami New Member

  #678
  Feb 14, 2018
  Joined: Aug 30, 2017
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Naomba kufahamu wadau wenzangu,nimeanza ufugaji was kuku na ninatamani kuwa na machine yangu ya kutotoleshea mayai ,nahitaji ya sola je zipo?na zinapatikana wap?maana Songea kunatatizo LA umeme kukat
   
 20. chardams

  chardams JF-Expert Member

  #679
  Feb 15, 2018
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 2,439
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Umeme ukikatika unachukua siku ngapi?
   
 21. bachelor sugu

  bachelor sugu JF-Expert Member

  #680
  Mar 15, 2018
  Joined: Jan 30, 2018
  Messages: 867
  Likes Received: 845
  Trophy Points: 180
  Mkuu naomba unijumuishe kwenye group tushee mawazo 0715100906
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...