Unauza sh ngap mm naitaj [HASHTAG]#621004002[/HASHTAG]Mkuu mashine ushauza au bado?? Ungeweka na picha na pia maelezo ya ziada kama made in hapa hapa TZ au ni wapi,na pia on average inatoa vifaranga vingapi ingependeza zaidi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauza sh ngap mm naitaj [HASHTAG]#621004002[/HASHTAG]Mkuu mashine ushauza au bado?? Ungeweka na picha na pia maelezo ya ziada kama made in hapa hapa TZ au ni wapi,na pia on average inatoa vifaranga vingapi ingependeza zaidi mkuu.
Wengi wanaagiza kutoka china.Kwa machine nzuri, za uhakika na zenye bei nafuu tembelea Poultry Incubator|Egg Incubators|Chicken Cages Manufacturer au www.onelye.com
Ni waaminifu sana,ndani ya siku 20 to kukamilisha malipo unapata umzigo wako.
Bei yake ikoje?Mimi natumia incubator ndogo za kichina, bei nafuu na ni automatic control, (automatic computer control) inajigeuza yenyewe kazi yako ni kuweka maji na gharama za umeme, mayai 380.
Bei yake ikoje?
Ching'wa njoo godson pourty solution tunayo ya mayai 42 ya solar na umeme 350000 warranty ya mwaka mmoja 0621699422 au 0689350805
Umeme ukikatika unachukua siku ngapi?Naomba kufahamu wadau wenzangu,nimeanza ufugaji was kuku na ninatamani kuwa na machine yangu ya kutotoleshea mayai ,nahitaji ya sola je zipo?na zinapatikana wap?maana Songea kunatatizo LA umeme kukat
Habari zenu wanajamvini,
Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga.
Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana, nitashukuru kwa msaada wenu.
--------------------