Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri


barakamorinho1357

barakamorinho1357

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
280
Points
500
barakamorinho1357

barakamorinho1357

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
280 500
Wapo Wachina ila ni ghali sana bora mara mia kuagiza mwenyewe, Hata Kenya zipo nyingi tu ila nilijarubu kucheki bei zipo juu na Bei ziko juu kwa sababu wanaagiza kutoka China so nilazima na wao wauze bei fulani ili kupata Fiada, Incubators ya Mayai 880 kwa kenya ni 1,900,000 wakati ya aina hiyo kuagiza moja kwa moja na ghalama z bandarini inaweza angukuia 1,200,000

Ila zinazo Tengenezwa Bongo hazifai kabisa na kama zile za mafuta ya taa ndo kabisa, Ila kwa china zipo za mafuta ya taa ila ni ghali vibaya mno,

Na mara nyingi Incubators za mafuta ya taa ni Manual operation wakati za Umeme ni automatic, na uzuri wa automatic kama una uhakika na umeme unaweza seti time ya mayai kujigeuza then ukaenda zako kufanya shughuli zako, ila kwa mashine ambayo ni manual hautakiwi kubandua mguu hapo

ILA KWA ANAYE TAKA MIMI NA MPATIA ADRESS YA WACHINA FULANI WANAKUTUMIA MAKE TUNAFAHAMIANA NA NO USANII,

Kiongoz Mambo vipi! Naomba uniunganishe na hao wadau wako waliopo China!
 

Forum statistics

Threads 1,293,770
Members 497,735
Posts 31,152,968
Top