Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mkuu mashine ushauza au bado?? Ungeweka na picha na pia maelezo ya ziada kama made in hapa hapa TZ au ni wapi,na pia on average inatoa vifaranga vingapi ingependeza zaidi mkuu.
Unauza sh ngap mm naitaj [HASHTAG]#621004002[/HASHTAG]
 
Binafsi hii project ya kuku imenigusa sana, hasa kuhusu his machine so nilijaribu kupiga hatua moja mbele nikajaribu kuwauliza watu wa sido wakaniambia zina range kuanzia 350,000/= na kuendelea kulinga na uwezo wa mashine.
 
Mimi natumia incubator ndogo za kichina, bei nafuu na ni automatic control, (automatic computer control) inajigeuza yenyewe kazi yako ni kuweka maji na gharama za umeme, mayai 380.
 
Bei yake ikoje?
1478428185436.jpg
zinacheza kwenye 2ml up 5ml
 
Pata kuku wataamu kabisa kujiramba mwanzo mwisho
( *Wakienyeji* ) wakubwa wa kutoshaaa 20, 000tsh @1..

*_oda ya kuanzia Kuku 7 unapata punguzo_ ...*
* _Popote ulip0 dar unaletewa..*_

CALL-0752-109265
 
Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!
Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji(Kuroiler) kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya kutotolesha yanapatikana kwa order.

Bei ya tray moja ni elfu kumi tu(10,000tsh) ninapatikana Dar es salaam Tegeta-Madale na ukitaka tray kuanzia kumi unaletewa popote ulipo bure ila ukihitaji pungufu ya hapo utatoa nauli nusu na sisi tutakuchangia nusu..kwa mawasiliano zaidi 0769345032 au 0654250816 karibuni sana.
 
wakuu habari zenu. Nataka kuagiza incubator ndogo tu ya mayai machache kama 48 hivi. Sasa kabla sijaingia mkenge nipate ushuhuda hapa maana kwenye wengi pana mengi, isije nikaagiza kumbe kimeo hakifanyi kazi
332c100b739158b3932f208890146024.jpg

Nani anaexpirience na hii kitu ?
 
Hizi zinatumia solar na bei yake kwa hiyo ya mayai 48 ni USD 36 tu. Mwenye kuzifahamu vyema atiririke tafadhali
 
Naomba kufahamu wadau wenzangu,nimeanza ufugaji was kuku na ninatamani kuwa na machine yangu ya kutotoleshea mayai ,nahitaji ya sola je zipo?na zinapatikana wap?maana Songea kunatatizo LA umeme kukat
 
Naomba kufahamu wadau wenzangu,nimeanza ufugaji was kuku na ninatamani kuwa na machine yangu ya kutotoleshea mayai ,nahitaji ya sola je zipo?na zinapatikana wap?maana Songea kunatatizo LA umeme kukat
Umeme ukikatika unachukua siku ngapi?
 
Habari zenu wanajamvini,

Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga.

Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana, nitashukuru kwa msaada wenu.


--------------------
 
Habari zenu wanajamvini,

Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga.

Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana, nitashukuru kwa msaada wenu.


--------------------
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom