Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Bwanamaya

Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
47
Points
125

Bwanamaya

Member
Joined Mar 14, 2017
47 125
Wakuu habariiii...

Naomba mnipe utaalam wa kutengenezea incubator jamani natamani sana kuwa na kuku wa kutosha ila ndoto inanifia pua kwa kutokuwa na hii mashine na uwezo wa kununua dukani ni mfinyu kidogo...
 
WEKKI

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Messages
446
Points
225

WEKKI

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2014
446 225
VYUNGU VYA KUTOA JOTO KWA VIFARANGA
Ni imala na vikubwa
Vina sehemu ya kutolea majivu (chember)
Vinatumia mkaa kidogo kwa muda mrefu
Vimetengenezwa kwa ubunifu wa hali ya juu
Vina tafauti na vyungu vingine
Vinatunza joto kuanzia masaa 12-15
Chungu kimoja kina uwezo wa kutoa joto kwa vifaranga 100
Bei zetu ni sh elfu 14@ chungu ila kwa mteja atakayenunua kuanzia vyungu 3 atauziwa sh elfu 13@ chungu na Kama mteja atakuwa mwenyeji wa dar es salaam ataletewa mpaka sehemu husika
Tupo dar es salaam temeke mkoani nako tunatuma kwa ghalama za mteja kwa uaminifu mkubwa
Weka oda yako mapama make wanaoitaji NI wengi
Tupigie kwa namba iz 0744731108 U 0687474845
VYUNGU VYA KUTOA JA VIFARANGA NI CHANZO CHA UHAKIKA CHA KUTOA JOTO
 
WEKKI

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Messages
446
Points
225

WEKKI

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2014
446 225
Mpo mkoa gani?
VYUNGU VYA KUTOA JOTO KWA VIFARANGA
Ni imala na vikubwa
Vina sehemu ya kutolea majivu (chember)
Vinatumia mkaa kidogo kwa muda mrefu
Vimetengenezwa kwa ubunifu wa hali ya juu
Vina tafauti na vyungu vingine
Vinatunza joto kuanzia masaa 12-15
Chungu kimoja kina uwezo wa kutoa joto kwa vifaranga 100
Bei zetu ni sh elfu 14@ chungu ila kwa mteja atakayenunua kuanzia vyungu 3 atauziwa sh elfu 13@ chungu na Kama mteja atakuwa mwenyeji wa dar es salaam ataletewa mpaka sehemu husika
Tupo dar es salaam Banana mkoani nako tunatuma kwa ghalama za mteja kwa uaminifu mkubwa
Weka oda yako mapama make wanaoitaji NI wengi
Tupigie kwa namba izi 0687474845/. 0744731108
VYUNGU VYA KUTOA JOTO KWA VIFARANGA NI CHANZO CHA UHAKIKA CHA KUTOA JOTO
 
Hammy Js

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Messages
3,023
Points
2,000

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2017
3,023 2,000
Wakuu habariiii...

Naomba mnipe utaalam wa kutengenezea incubator jamani natamani sana kuwa na kuku wa kutosha ila ndoto inanifia pua kwa kutokuwa na hii mashine na uwezo wa kununua dukani ni mfinyu kidogo...
Mi naweza kutengeneza machine inayotumia mafuta ya taa, mfano machine ya trey 4 (mayai 120) inaweza kugharimu si zaidi ya 100,000/= kwa material pekee. Hii estimation ni kwa bei za material ya DSM
 
WAKU-GOOGLE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2015
Messages
875
Points
1,000

WAKU-GOOGLE

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2015
875 1,000
Habari?
Wanajamvi,nimenunua mashine ya kutotolesha vifaranga hivyo napata changamoto ya malighafi yaan MAYAI. Hivyo nanunua mayai YA KIENYEJI yawe yanatokana na kuku halisi wa KIENYEJI.
Mwenye nayo au anaemjua supplier yeyote anayeweza niuzia mayai 500 kila mwezi kwa miezi 4 tuwasiliane PM kwa makubaliano ya bei na mengineyo.
Mimi napatikana Mbeya na vizuri kama supplier atakuwa mbeya na maeneo ya jirani yaan sumbawanga,tunduma,songwe,mbalali,makambako,njombe,iringa,na morogoro
Asanteni!.
Tupe uzoefu wako katika matumizi ya hiyo incubator na faida zake kulingana na uzoefu wako, pia aina ya incubator unayotumia
 
Hammy Js

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Messages
3,023
Points
2,000

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2017
3,023 2,000
Mkuu. Hammy Js samahani Kama unauzoefu kwenye hili!
Hivi ni kweli mayai yakisafirishwa umbali mrefu kiini kinachanganyika kiasi kwamba inaathiri utotoleshaji?

Nahisi Kuna MTU amenipiga panga hapa

Kajole , CHASHA FARMING naomba mawazo yenu
samahani mkuu kwa kuchekewa,natumia Jf app ambayo kupata notification kwa wakati ni shida kidogo kwa upande wangu. Huku nimeingia baada ya kupata notification ya like, kiufupi ni kwanza yai linapopata mitikisiko ya namna hii uwezekano wa kuharibika ni mkubwa sana sijajua kama kuna njia nzuri inayotumika kuyahifadhi wakati wa kuyasafirisha ili kuyaepusha na mitikisiko hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hammy Js

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Messages
3,023
Points
2,000

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2017
3,023 2,000
samahani mkuu kwa kuchekewa,natumia Jf app ambayo kupata notification kwa wakati ni shida kidogo kwa upande wangu. Huku nimeingia baada ya kupata notification ya like, kiufupi ni kwanza yai linapopata mitikisiko ya namna hii uwezekano wa kuharibika ni mkubwa sana sijajua kama kuna njia nzuri inayotumika kuyahifadhi wakati wa kuyasafirisha ili kuyaepusha na mitikisiko hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
#kiufupi ni kwamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Messages
1,457
Points
1,250

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2012
1,457 1,250
Habari mtanzania karibu ujipatie majishe ya kuangulia vifaranga tunazounda wenyewe mashine hii inaitwa kiben 10
Inabeba maya 1800 ikiwa na umbo dogo na mwonekano mzuri na ufanisi wa uhakika
Mashine hii tunaiunda kwa sh. Mil. 1.7
Ikiwa na warranty wa miezi 6
Popote ulipo tanzania huduma yetu inakufikia

Karibu kwa huduma bora

Tunapatikana dar es salaam tabata kimanga 0765870930

You tube. Incubator tanzania
IMG_20190105_161500.jpeg
IMG_20190119_233633_695.jpeg
IMG_20190118_141638.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,382,513
Members 526,396
Posts 33,830,558
Top