Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Nina kuku makoo 5 na jogoo wawili ila nina plan ya kununua incubator ili niweze kuongeza uzao kwa haraka na uhakika maana kuna kipindi walitaga mayai mengi ila wakayatotoa machache, je kuna kununua incubator kunaweza kutatua tatizo na kufikia lengo kwa haraka??
Hongera Kaka kwa hatua hiyo ya kuanza. Makoo 5 si haba kwa kuanzia. Tuchukulie kwamba wametaga wanne kila siku kwa siku 7 utapata mayai 28.(Maana mayai ya kuweka kwenye incubator inashauriwa yasikae zaidi ya siku 7 toka.) Wakitaga wote 5 kwa siku 6 utapata mayai 30.

Sasa nina incubator ndogo za kuanzia za mayai 36 na 64 ambazo unaweza kuanza nazo.

Incubator ya mayai 36 ni sh 200,000 na ya mayai 64 ni sh 370,000. Zina ufanisi mzuri sana, full automatic, inageuza mayai yenyewe na inaweza kutumia umeme wa tanesco, betri au sola. Picha zake ni hizi hapa chini.

Napatikana ubungo extrnal opposite na shule ya msingi makuburi jeshini au nyuma ya corner lounge bar.
Namba za simu ni 0783095169 na 0755571604

Karibuni sana.

IMG_20220817_133737_265.jpg
IMG_20220817_133824_306.jpg
IMG_20220817_134052_423.jpg
FlyerMaker_15032021_145340.jpg
IMG_20220113_100224_745.jpg
IMG_20210918_170236_304.jpg

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu habariiii...

Naomba mnipe utaalam wa kutengenezea incubator jamani natamani sana kuwa na kuku wa kutosha ila ndoto inanifia pua kwa kutokuwa na hii mashine na uwezo wa kununua dukani ni mfinyu kidogo...
Naweza kukuelekeza.Jaribu kuwasiliana na mimi
 
Hongera Kaka kwa hatua hiyo ya kuanza. Makoo 5 si haba kwa kuanzia. Tuchukulie kwamba wametaga wanne kila siku kwa siku 7 utapata mayai 28.(Maana mayai ya kuweka kwenye incubator inashauriwa yasikae zaidi ya siku 7 toka.) Wakitaga wote 5 kwa siku 6 utapata mayai 30.

Sasa nina incubator ndogo za kuanzia za mayai 36 na 64 ambazo unaweza kuanza nazo.

Incubator ya mayai 36 ni sh 200,000 na ya mayai 64 ni sh 370,000. Zina ufanisi mzuri sana, full automatic, inageuza mayai yenyewe na inaweza kutumia umeme wa tanesco, betri au sola. Picha zake ni hizi hapa chini.

Napatikana ubungo extrnal opposite na shule ya msingi makuburi jeshini au nyuma ya corner lounge bar.
Namba za simu ni 0783095169 na 0755571604

Karibuni sana.

View attachment 2443076View attachment 2443078View attachment 2443079View attachment 2443080View attachment 2443081View attachment 2443084

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
vifaranga wanakua tayari kwa muda gan?
 
Incubator ya mayai 500 ni shingapi nahitaji haraka
 
Wakuu Habari!!!

Nina Incubator yangu hiyo sijaitumia, panya wakala hapo juu nilipozungushia duara.

Nahitaji Msaada wA jinsi ya kuziba hapo ili hewa isiingie wakati wa utotoleshaji.

Kwa mwenye utaalam naomba anisaidie please.

IMG-20220621-WA0017.jpg
 
NI SIKU TULIVU NA YENYE BARAKA TELEE NA MAONO MAKUBWA KWA WAFUGAJI NA WAFANYA BIASHARA WA MIFUGO AINA YA NDEGEE

BAADA YA PILIKAPILIKA ZA JANUARY NA MAMBO YA ADAA NA KODI SASAA NI MUDA WAKULUDI NA KUNUFAIKA ZAIDI KATIKA UFUGAJI LENGO NI LILELILEE LA UKOMBOZI KWA WAFUGAJI NA WAJASIRIAMALI

MILIKI INCUBATOR MACHINE YAKO YA PLASTIC KWA BEI YA CHINI KABISA KUTOKA KWA JEFF AGRICULTURE FARM NDIO MKOMBOZI WAKO KWAN TUNATOA PUNGUZO HADI LA 20% KWA MFUGAJI MCHANGA NA MJASIRIAMALI MDOGOO

SIFA ZA INCUBATOR MACHINE ZETU

PLASTIC NDUM
NI FULL AUTOMATICAL
INAANGUA VIFARANGAA KWA 90%
NI YA UMEME NA SOLAR

JEFF AGRICULTURE FARM TUNA MASHINE YA MAYAI

MAYAI 16 SH 140000/=
MAYAI 24 SH 200000/=
MAYAI 60 SH 340000/=
MAYAI 112 SH 450000/=
MAYAI 128 SH 500000/=
MAYAI 140 SH 600000/=
MAYAI 170 SH 700000/=

UKINUNUA MACHINE TOKA KWA JEFF AGRICULTURE FARM TUNAKUPATIA WARRANTY YA MWAKA MZIMA

JEFF AGRICULTURE FARM MKOMBOZI WA FIKRA KWA WAFUGAJI

NB:KWA WATEJA WA DAR TUNAKULETEA MPAKA KWAKO UNALIPIA MZIGO UKIFIKAA UTACHANGIA USAFIR KIDOGO TU

0744344949 /0658344949
images%20(3).jpeg_new_new_new.jpg
View attachment 2509129View attachment 2509128View attachment 2509130
 
WAPE THAMAN MIFUGOO YAKO ACHA KUFUGA KWA MAZOEA ANZA KUFUGA KIMKAKATII MA UTENGENEZEE PESAA NYINGII KWA MUDA MFUPII

JEFF AGRICULTURE FARM TUNAKULETEA NIPPLES MAALUM KWAJILI YA MAJI KWA MIFUGOO YAKO NA KUEPUKA HASARA NDOGOO NDOGOO NA MAGONJWA YA MLIPUKOO KWANI NIPPLES ITAWAFANYA KUKU WAKO KUNYWA MAJI SAFI NA SALAMA BILAA KUMWAGIKA BANDANII

IKUMBUKWE NIPPLES ZINAFUNGWA KWENYEE NDOO AU JABA AMBALO UNAWEKA BANDANI HIVYOO KUKU WAKO WATAKUA WANAKUNYWA MAJI BILAA KUYACHAFUA WALA KUYAMWAGA BANDANI

HIVYO BASI KUPITIA KWA JEFF AGRICULTURE FARM UTAWEZA JIPATIA NIPPLES ZA KISASAA KWA BEI NDOGOO KABISA YA SHILINGI 3000/=TU

NB:TUNAUZA NIPPLES TUU HATUUZI NDOO

0744344949 /0658344949

NA MIKOANI TUNATUMA PIA

NA UKITAKA KULETEWA UNALETEWA MPAKA KWAKO NA KUFUNGIWA UNAFUNGIWA KWA BEI POA KABISA
6ce1fa26d627aeb95ba78903381312b3.jpg
 
JE VIFARANGAA WAKO WANAKUFA KWA SABABU YA KUKOSA JOTO LA KUTOSHAAA?? NA JEE UNAJUA VIFARANGA WANAHITAJI JOTO KIASI GANI KWA KILAA WIKII MPAKA KUKUA??

Watu wengii wamekua wakifanya makosa makubwa katika uleaji wa vifarangaa wao hii ni kutokujua au uzembe wa kufuga kwa mazoea na kujiita wazoefuu bila kufata taratibuu za kitaaram na kupelekea mifugoo kukosa ubora na Afya bora mpaka kupata vifoo vingii vya mifugoo yaoo

Je ni wangap wana Elimu ya kiasi gani cha jotoo linahitajika kwa vifaranga wa Day 1 mpka 2 week au zaidi lakinii watu wengi wamekua hii hatua wakiipa wepesi na kuzani hainaa umuhimu wowotee wa kufataa utaratibu wa kitaaram wa kuwapa joto kwa kiasi kinachohitajika

Okey hilooo sasaa basii Ungana na JEFF AGRICULTURE FARM wataaram na mabingwa wa kuuza vifaa vya ufugaji wanakuletea TAA bora na za uhakika zenyee joto la kutoshaa kwani TAA zetu zinasifa kamaa

ZINA TUMIA UMEMEE MDOGO SANAA
ZINA JOTO LA KUTOSHA MPAKA VIFARANGA 100
HAZIPITISHI MAJII
NI NGUMI NA IMARA KUUNGUA
ZINA MWANGA WA KUTOSHAA NJEE YA JOTO

Ukinunua TAA kwa JEFF AGRICULTURE FARM utapiwa na Elimu ya mifugoo yako na namna boraa ya kiasi cha jotoo linalo hitajika kwa vifarangaa wako Epuka hasara ndogoo ndogoo za kuepukikaa wape thaman mifugoo yako

JEFF AGRICULTURE FARM tutakuuzia TAA za joto kwa SHILINGI 15000/=TU

MAWASILIANO 0744344949 /0658344949

UKITAKA KULETEWA UNALETEWA MPAKA KWAKO NDIOO UNALIPIA (DAR ES SALAAM ONLY) UNACHANGIA NAULI KIDOGO TU

NA KWA MIKOANI TUNATUMA PIA

KARIBU SANA JEFF AGRICULTURE FARM UWEZE PATA USHAURII WA UFUGAJI NA MASOKOO
images%20(5).jpg
 
JEE WEWE NI MFUGAJI NA UNAHITAJI KUFUGA KUKU PURE WA KIENYEJI NA UJUI MAYAI YAKE UTAYAPATA WAPI? ??

WATU WENGI WAMEKATA TAMAAA YA KUFUGA KUKU WA KIENYEJI KWA SABABU YA UADIM WAKE NA USUMBUFU WAKE KATIKA UPATIKANAJI WAKE

JEFF AGRICULTURE FARM imekuja na jibuuu la swalii hiloo na kukuletea mayai ya kienyeji ya uhakika amabayo unaweza uwapa kuku wako wa kienyeji wakayaangua yotee

SIFA ZA KUKU WA KIENYEJI NI KAMA :

1.Anauwezo wa kustahimili magonjwa
2.Nyama yake ni nzuri na ya kuvutia
3.Anauwezo wa kutaga mayai mengi na kuyaatamia (kuyaangua) mwenyewee
4.Unaweza kumfuga kwa njia tatuu fofauti (Huria, Nusu huria na shadidii)
Kukuu wa kienyeji ni kuku boraa katika ulimwengu wa ufugaji

Kupitia sifa hizoo kuku wa kienyeji anakupa Advantage wewee mfugajii kuwafuga na kupata matokeo makubwa zaidii

Ukikosa pesa ya chakula kuku wa kienyeji anauwezo wa kutafuta chakula chakee mwenyewee na badae ukipata pesa wakaendelea na kula chakula cha mchanganyo special NB Dawa ya minyo kwa kuku wanaojitafutia chakula

Kutokana na uchache wao na uwadimu wao katika karne hii unaweza kutumia kama fursa kutengeneza soko lako na kulii Brand kwa upeke

Kuku wa kienyeji haitaji INCUBATOR MACHINE ilikuweza kupata vifarangaa kwa sababu mama mazaz anauwez wa kuatamia vizuri na kutoa vifaranga wotee wakiwa salama

Kuku wa kienyeji anauwezo wa kukupa pesaa zaidii ya kuku wengne wotee kama tyuu utamfuga kama biashara

Sifa za kuku wa kienyeji ni nyingii siwez kuzimaliza kabisa

Hivyoo JEFF AGRICULTURE FARM wanakuletea mayai ya kienyeji kwa SHILINGI 16000/TU TRAY

Na kama wewee ni mteja na hauna pakuyatotolesha mayai haya unaweza kuyanunua na tukakuwekea kwenyee INCUBATOR MACHINE zetu na Baada ya muda unaijia vifaranga wako wote watakao patikana

Ndugu mteja JEFF AGRICULTURE FARM tunauza mayai tu

NB KUKU ANAPASWA KULAA CHAKULA BORA CHENYE MCHANGANYO SAWA LAKINI PIA CHANJO ZOTE ANATAKIWA KUPEWA NA KUZINGATIA AFYA YAKE

0744344949 /0658344949
MIKOANI TUNATUMA
images.jpg
 
OFAA OFAA OFAA HII NI KWA WAFUGAJI NA WAJASIRIAMALI WADOGO WADOGO LEO JEFF AGRICULTURE FARM ANAKUSANUA WEWE MFUGAJII NA KUKUPAA ELIMU NA MBINUU YA KUKUZA UCHUMI WEWEE MFUGAJI

WATU WENGI WAMEKUA WAKILALAMIKA NA KUUMIZWA NA MFUMKO WA BEI ZA VYAKULA VYA MIFUGO NA KUPELEKEA WATU KUSHINDWA KUENDESHA MIRADI YAO YA UFUGAJI NA KUKATA TAMAA KABISAA NA KUKOSA MBINU YA KUPUNGUZA GARAMA ZA CHAKULAA

JEFF AGRICULTURE FARM ANAKWAMBIA HILOO LISIKUPE SHIDAA SANAA KWANI NI RAHISI SANA KWANII USHAWAHI JIULIZA UKIMILIKI PILLET MACHINE YAKO YA KUTENGENEZA CHAKULA CHAKO MWENYEWE UTAKUA UMEOKOA PESAA NGAPII?

PILLET MACHINE INAUWEZO WA KUKURAHISISHIA WEWEE MFUGAJI BAADHII YA MAMBO YAKO NA KUKUPA MUDA WA KUFIKILIA MAMBO MENGINEE SIO KILA SIKU KUWAZA UTAPATA WAPII PESA ZA CHAKULA

PILLET MACHINE ZETU ZINA UWEZO KAMA

KG 100 KWA SAA BEI 1,500,000
KG 150 KWA SAA BEI 1,700,000
KG 250 KWA SAA BEI 2,400,000
KG 350 KWA SAAA 3,500,000
KG 500 KWA SAA BEI 5,500,000
KG 750 KWA SAA BEI 7,000,000
TONE MOJA KWA SAA BEI 8,500,000
TONE MBILI KWA SAA BEI 12,500,000

MACHINE ZETU ZINATENGENEZA CHAKULA CHA KUKU, SUNGURA, NG'OMBE, SAMAKI NK

MAWASILIANO 0744344949 /0658344949 DSM

MIKOANI TUNATUMA KWA GARAMA ZA MTEJA

JEFF AGRICULTURE FARM NI UKOMBOZI WA FIKRA KWA WAFUGAJI
IMG-20221023-WA0019.jpg
 
PORTABLE ELECTRONIC SCALE

Kwenye kila biashara kunaitaji hesabu hivyo itakupa ugum Sana kujua maendeleo Kama hautakua na vitendeaa kazi vya kisasa kwenye mradi wako wa ufugaji

Karibu JEFF AGRICULTURE FARM ujipatie mizani ya kupima uzito kuanzia (0-50kg) kwa Bei ya OFAA kabisaa ipo faida kubwa Sana ya Kutumia mizani kupima vitu mbali mbali

FAIDA YA KUTUMIA MIZANI KATIKA UFUGAJI

Mzani huu unaweza kutumia kupimia kuku wako uzito na kujua maendeleo ya ukuaji wao
Unaweza Kutumia kupimia chakula na kujua kuku wako wanatumia chakula Cha kiasi gani kwa siku
Unaweza kupimia uzito wa vitu vingi mbali mbali na kukurahisishia wewe mfugaji kupanga mikakati yako

Mzani hii huu ni Digital na utaupata kwa Bei ya OFAA kabisaa ya shilingi 15000/=TU

Wakazi wa DAR ES SALAAM unaletewa mpaka kwako ndio unalipia mzigo wako na unachangia pesa kidogo tuu ya usafiri

0744344949/0658344949 DSM LILIAN KIBO

MIKOANI TUNATUMA PIA

JEFF AGRICULTURE FARM NI UKOMBOZI WA FIKRA KWA WAFUGAJII View attachment 2570439View attachment 2570440
images%20(43).jpg
 
JEE WEWE NI MFUGAJI NA UNAHITAJI KUFUGA KUKU PURE WA KIENYEJI NA UJUI MAYAI YAKE UTAYAPATA WAPI? ??

WATU WENGI WAMEKATA TAMAAA YA KUFUGA KUKU WA KIENYEJI KWA SABABU YA UADIM WAKE NA USUMBUFU WAKE KATIKA UPATIKANAJI WAKE

JEFF AGRICULTURE FARM imekuja na jibuuu la swalii hiloo na kukuletea mayai ya kienyeji ya uhakika amabayo unaweza uwapa kuku wako wa kienyeji wakayaangua yotee

SIFA ZA KUKU WA KIENYEJI NI KAMA :

1.Anauwezo wa kustahimili magonjwa
2.Nyama yake ni nzuri na ya kuvutia
3.Anauwezo wa kutaga mayai mengi na kuyaatamia (kuyaangua) mwenyewee
4.Unaweza kumfuga kwa njia tatuu fofauti (Huria, Nusu huria na shadidii)
Kukuu wa kienyeji ni kuku boraa katika ulimwengu wa ufugaji

Kupitia sifa hizoo kuku wa kienyeji anakupa Advantage wewee mfugajii kuwafuga na kupata matokeo makubwa zaidii

Ukikosa pesa ya chakula kuku wa kienyeji anauwezo wa kutafuta chakula chakee mwenyewee na badae ukipata pesa wakaendelea na kula chakula cha mchanganyo special NB Dawa ya minyo kwa kuku wanaojitafutia chakula

Kutokana na uchache wao na uwadimu wao katika karne hii unaweza kutumia kama fursa kutengeneza soko lako na kulii Brand kwa upeke

Kuku wa kienyeji haitaji INCUBATOR MACHINE ilikuweza kupata vifarangaa kwa sababu mama mazaz anauwez wa kuatamia vizuri na kutoa vifaranga wotee wakiwa salama

Kuku wa kienyeji anauwezo wa kukupa pesaa zaidii ya kuku wengne wotee kama tyuu utamfuga kama biashara

Sifa za kuku wa kienyeji ni nyingii siwez kuzimaliza kabisa

Hivyoo JEFF AGRICULTURE FARM wanakuletea mayai ya kienyeji kwa SHILINGI 16000/TU TRAY

Na kama wewee ni mteja na hauna pakuyatotolesha mayai haya unaweza kuyanunua na tukakuwekea kwenyee INCUBATOR MACHINE zetu na Baada ya muda unaijia vifaranga wako wote watakao patikana

Ndugu mteja JEFF AGRICULTURE FARM tunauza mayai tu

NB KUKU ANAPASWA KULAA CHAKULA BORA CHENYE MCHANGANYO SAWA LAKINI PIA CHANJO ZOTE ANATAKIWA KUPEWA NA KUZINGATIA AFYA YAKE

0744344949 /0658344949
MIKOANI TUNATUMA View attachment 2510983
Nahitaji mayai dodoma, ntayapataje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom