Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
5,609
Likes
25
Points
135

Gagurito

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
5,609 25 135
Kama wewe ni mkulima na mfugaji kwa vitendo na ungependa kujumuika na wakulima wenzako whatsapp 0717269137 (kama haulimi wala kufuga haikuhusu) WE NEED SERIOUS PEOPLE
 

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Messages
1,517
Likes
117
Points
160
Age
30

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2012
1,517 117 160
Jamani ninauza mashine yangu ya kuangulia inabeba mayai 2162. Dhumuni la kuiuza nataka kutafuta kubwa zaidi garantii ni miezi 8. ni full automatic. Nauza sh. Mil. 1.8 maelewano yapo
 

ching'wa

Senior Member
Joined
Jan 2, 2015
Messages
163
Likes
102
Points
60
Age
46

ching'wa

Senior Member
Joined Jan 2, 2015
163 102 60
Naomba kupewa mchanganuo Wa incubator na bei zake ingawa mahitaji yangu ni Ile ndogo zaidi kulingana na uwezo wangu. Pia kama Kuna mtu anajua namna ya kutotoresha kwa balbu ya umeme anipe maelekezo ili nijaribu wakati najipanga
 

sithole

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Messages
301
Likes
32
Points
45

sithole

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2012
301 32 45
Jamani ninauza mashine yangu ya kuangulia inabeba mayai 2162. Dhumuni la kuiuza nataka kutafuta kubwa zaidi garantii ni miezi 8. ni full automatic. Nauza sh. Mil. 1.8 maelewano yapo
Mkuu mashine ushauza au bado?? Ungeweka na picha na pia maelezo ya ziada kama made in hapa hapa TZ au ni wapi,na pia on average inatoa vifaranga vingapi ingependeza zaidi mkuu.
 

Forum statistics

Threads 1,203,542
Members 456,791
Posts 28,118,020