Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri


Shomary N. Shomary

Shomary N. Shomary

Member
Joined
Sep 1, 2015
Messages
22
Likes
0
Points
3
Age
29
Shomary N. Shomary

Shomary N. Shomary

Member
Joined Sep 1, 2015
22 0 3
Chacha Poutry Farm,
Hiyo bei ya laki ngapi 1,2,3 ni ya zamani kidogo, 2011.
Unaweza kuniambia bei ya sasa 2015?
 
kikonko

kikonko

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
516
Likes
84
Points
45
kikonko

kikonko

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
516 84 45
Habari zenu wanajamvini,

Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga.

Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana, nitashukuru kwa msaada wenu.


--------------------
Nasi pia tunauza Automatic incubator mayai 7, 48, 96, 106 kutoka China.Anaehitaji aweza kuni PM
Nahitaji incubata broo
 
Ngamba

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Messages
696
Likes
49
Points
45
Ngamba

Ngamba

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2013
696 49 45
Nipe order nitakuletea kutoka uk, ni mp, bei pounds 120
Egg 96
jamaa kasema anataka kuona hio ya 96eggs so weka picha aone and then ataweka order, we wataka aweke order bile kuona nini anachonunua???? au ndo mambo ya kigumashi/kitomari??????
 
GHIBUU

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
3,579
Likes
1,195
Points
280
GHIBUU

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
3,579 1,195 280
jamaa kasema anataka kuona hio ya 96eggs so weka picha aone and then ataweka order, we wataka aweke order bile kuona nini anachonunua???? au ndo mambo ya kigumashi/kitomari??????
48 eggs 96 eggs, hii unaweza kuifanya kuwa ndogo na Kuzalisha 48 eggs kama hio ya juu.
 

Attachments:

GHIBUU

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
3,579
Likes
1,195
Points
280
GHIBUU

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
3,579 1,195 280
jamaa kasema anataka kuona hio ya 96eggs so weka picha aone and then ataweka order, we wataka aweke order bile kuona nini anachonunua???? au ndo mambo ya kigumashi/kitomari??????
View attachment 297795 mlimani city incubator kama hii inaizwa one milion unbelievable. Nenda kwenyewe kajionee, katika supper market zile.
 
GHIBUU

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
3,579
Likes
1,195
Points
280
GHIBUU

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
3,579 1,195 280
Wadau naomba msaada wenu. Mimi ni mjasiliamali anayejishugulisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji. Shida yangu ni Incubator mashini ya kuangulia mayai. Sijawa na mtaji wa kununulia incubator halisi ila nataka nianze kwa jinsi ya kiasili kabisa ya kuangua mayai japo kati ya 25 hadi 40 ili kuokoa mayai mengi yanayoharibika kwa kuachwa na kuku mwenyewe na pia ili kupata vifaranga wengi kwa wakati mmoja. Sasa niliambiwa kuna njia fulani ya kutotolesha mayai bila kutumia incubator. Naomba msaada kwa anayefahamu.
Naomba kutoa hoja
Eggs 48, iko vizuri sana, View attachment 297797 Kutoka uk sio China, ina ubora wa hali ya juu, ni mp kama unahitaji I will help you.
 
Ngamba

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Messages
696
Likes
49
Points
45
Ngamba

Ngamba

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2013
696 49 45
Nimeipenda hii so ningependa kuipata na kuitumia katika shughuri zangu nijulishe nawezaje kuipata?/
 
ELIASANTE

ELIASANTE

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Messages
336
Likes
22
Points
35
Age
38
ELIASANTE

ELIASANTE

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2014
336 22 35
Mimi nauza incubator kama hizo,za mayai 96,Kwa tsh.600000,laki sita,na za mayai 48,kwa tsh.350000,laki tatu na nusu.karibuni mburahati msikitini,uliza mwakalinga general enterprises.Pia tunaunda incubator full automatic kwa gharama nafuu,kwa mfano ya mayai 528,tunauza kwa tsh.1,500,000.

Wasiliana nasi,0784413039.

utapewa semina za utumiaji,huduma kwa mteja bure,elimu ya ujasiliamali bure.
karibuni sana.
 
ELIASANTE

ELIASANTE

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Messages
336
Likes
22
Points
35
Age
38
ELIASANTE

ELIASANTE

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2014
336 22 35
Automatic electrical incubator and kerosene incubator.
 
riltz

riltz

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Messages
246
Likes
69
Points
45
Age
49
riltz

riltz

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2015
246 69 45
Kwa aliye serious an I pm nimlink na local manufacturer aliyeleta 88 incubator bora kwa bei poa. Ya 200 eggs just laki 4 semi automatic machine.95% efficiency na inatumia nishati zote kasoro jua!!!
 

Forum statistics

Threads 1,236,304
Members 475,050
Posts 29,253,487