#COVID19 Mashabiki walimponza Mwl. Kashasha, aliambukizwa COVID-19

Daah ampumzike kwa Amani
Nakumbuka mwaka 2014 kombe la Dunia alionyesha umahiri mkubwa Sana kuchambua SOKA pale TBC1 na kumshinda hata Dr leaky

Pia haji manara ndiye aliyewaomba tbc wamuajiri ni baada yakuona anauwezo mkubwa wa kuchambua mpira kwani Kuna vitu alivichambua ambavyo Haji mwenyewe hakuwa na uelewa navyo, kwakifupi Haji ndiye alimpigia pande tbc awali ya hapo kashasha alikuwa hajulikani.
Daah
 
NILIJUA KUWA HIZI MIKUSANYIKO ZITAENDA NA WENGI NA HUYO KASHASHA NDIO MTU MAARUFU TULIOTAMBUA HAO WENGINE WATAKUWA WENGI ZAID,. KUWENI MAKINI NA MIKUSANYIKO YA WATU KATIKA MICHEZO
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Kufa Tutakufa Tu
Jiwe
 
Back
Top Bottom