Wanafunzi wote hakuna aliyesema anandoto ya kuwa mwalimu

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,842
Kuna program tulienda kufanya last month shule ya sekondari taifa iliyopo jijini dar Es salaam, shule ya sekondari mwenge singida mjini na shule ya sekondari mosh tech iliyopo moshi Sasa katikati ya program likaibuka swali mnasoma mje kuwa Nani

Shule zote tuliuliza hilo swali but hakuna hata mmoja alisema nataka kuwa mwalimu, hii ilileta taswira ya unyonge saana Kwa walimu tuliowakuta hapo shule but ndouhalisia wenyewe maana watoto wanaona jinsi walimu walivyopauka na kukonda kama nguruwe aliekosa malisho

Kwa kizazi cha sasa ndoto ya ualimu ni maamuzi ya ibilisi na nipepo linalotakiwa kukemewa na majopo ya wachungaji maaskof na makadinari. Hii kazi imekuwa mbovu bora mpiga debe wa stend ya misuna. Ni kazi inayozima na kuzika ndoto ya mafanikio maana walimu tunawaona wakiwa Hawana fraha khabisa wapo kama wamechanganyikiwa. Msimu huu wa sikukuu hakuna mwalimu utamkuta anapesa ya kueleweka, pesa iliyobaki niyakuokota kwenye uvungu wa kitanda
 
You waste ur time in damn

Matured is to know the time to talk and the time to quiet.
 
Back
Top Bottom