Na mie shangazi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm tu ndo mkulima[emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda kule kwenye jukwaa la Ajira madon wa jf walivyokuwa wanahangaika kujaza fomu ya maombi ya sensa.
Kuna member nilikuwa najua ni mfanyabiashara mkubwa wa magari na biashara nyingine nyingi,,Nashangaa kukuta post ya kuwa hajatumiwa password ya maombi ya sensa na analalamika mtandao unasumbua[emoji23][emoji23]
Wote matajiri kasoro Mimi zero Iq, mbona najiweka wazi mimi namiliki kiwanda cha uchakati Viazi kuwa Chipsi basi.
Cc Zero IQ
Mimi sijawahi kusafiri mikoa yote.Yaani miongoni mwa mitandao ya kijamii yenye impact kubwa kwenye jamii naweza kusema jamii forum ni no1.
Tatizo linaanzia kwa member wake..
Yani humu jamii forum bana kila mtu ana PHD.
Kila mtu ameshakwenda marekani Russia na Ukraine...
Yaani jamii forum kila mtu ana nyumba zaidi ya Moja na anaviwanja goba.
Yaani jamii forum kila mtu ana degree
Yani jamii forum kila mtu ana pesa Ila ajui afanye biashara Gani tena zaidi ya 100m
Yaani jamii forum kila mtu ni daktari na anajua kwa undani masuala ya afya
Kila mtu jamii forum ni mchambuzi wa kisiasa duniani
Yaani jamii forum kila mtu amewai kusafiri mikoa yote.
Kifupi jamii forum wajuaji ni wengi mtu unaweza kuhisi upo nyuma kimaendeleo kwa sababu watu wanaandika kama mabilionea.
Yani jamii forum kila mtu ni tajiri aisee..
Alafu jamii forum Tabaka la chini ni wahitumu wenye degree ndio wanaonekana mabwege
Aisee ni hatari sana.
Bado tena unasema wengine ni vitoto mkuu😆😆😆Mbona umenza kuniwazia mabaya mapema?? Nikuseme ili iweje?? Sisi wengine tumekuwa akili sio kama hivi vitoto humu. Acha wasiwasi mkuu.
Usiwe negative kwa kila mtu
DahNenda kule kwenye jukwaa la Ajira madon wa jf walivyokuwa wanahangaika kujaza fomu ya maombi ya sensa.
Kuna member nilikuwa najua ni mfanyabiashara mkubwa wa magari na biashara nyingine nyingi,,Nashangaa kukuta post ya kuwa hajatumiwa password ya maombi ya sensa na analalamika mtandao unasumbua[emoji23][emoji23]
Sisi ndio wanga wa jukwaa au sio?Huku jamii forum kila mtu atajifanya anajua kila kitu ila wakifika kwenye maswala ya uganga,uchawi,ramli wanamuachia Bujibuji Simba Nyamaume na Mshana Jr 😂😂😂
Mi sina kwa hiyo si kila mtuNina PHD nilisoma Harvard university mwaka 2007
Hela ndio usiseme juzi juzi nimewekeza UTT Amis zaidi ya 16537 trillions..
Sijajua wewe.
Alafu nilikuwa nauliza biashara Gani inatoka zaidi eneo unaloishi mana nina 7bilion nataka kuwekeza Ila Sina msimamizi.
Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
Si hao ambao wamekufanya uamini kwamba wanaume tunaweza kuja kutangaza ya sirini huku majukwaani. Hiyo tabia ni ya kitoto na mimi akili yangu ni ya kiutu uzima. Usiwe na wasi Darlin.Bado tena unasema wengine ni vitoto mkuu😆😆😆
Aiseeeee
Miaka ya nyuma huko ulitupia pic ukiwa dumila unapiga kahawa na kashata pembeni uko na chupa ya vant aisee wadau walimwaga mapovu balaaa.Mbona malofa tupo humu haha
Kuna siku nlitupia picha humu nko kwenye bodaboda/mwendokasi
Wacha nisilibiwe ...haha
Ova
Wala hata mkuu hamna ambae ashanitangaza kwa chchoteSi hao ambao wamekufanya uamini kwamba wanaume tunaweza kuja kutangaza ya sirini huku majukwaani. Hiyo tabia ni ya kitoto na mimi akili yangu ni ya kiutu uzima. Usiwe na wasi Darlin.
Hapana kabisa mkuu. Sijasema kwamba kuna mtu amewahi kukutangaza wewe kama wewe. Ila wapo watoto wanaotangaza ya huko hapa hadharani. Mkuu hapa hapatufai kabisa. Tuhamie PM boraWala hata mkuu hamna ambae ashanitangaza kwa chchote
Naongea tu kwa uhalisia ulivyo…
Mbona masaibu madogo hayo, nenda YouTube kaangalie masaibu ya NJUGUSH utakuja kukiri hapa😂😂Yaani miongoni mwa mitandao ya kijamii yenye impact kubwa kwenye jamii naweza kusema jamii forum ni no1.
Tatizo linaanzia kwa member wake..
Yani humu jamii forum bana kila mtu ana PHD.
Kila mtu ameshakwenda marekani Russia na Ukraine...
Yaani jamii forum kila mtu ana nyumba zaidi ya Moja na anaviwanja goba.
Yaani jamii forum kila mtu ana degree
Yani jamii forum kila mtu ana pesa Ila ajui afanye biashara Gani tena zaidi ya 100m
Yaani jamii forum kila mtu ni daktari na anajua kwa undani masuala ya afya
Kila mtu jamii forum ni mchambuzi wa kisiasa duniani
Yaani jamii forum kila mtu amewai kusafiri mikoa yote.
Kifupi jamii forum wajuaji ni wengi mtu unaweza kuhisi upo nyuma kimaendeleo kwa sababu watu wanaandika kama mabilionea.
Yani jamii forum kila mtu ni tajiri aisee..
Alafu jamii forum Tabaka la chini ni wahitumu wenye degree ndio wanaonekana mabwege
Aisee ni hatari sana.
😁😁😁mimi nimekuelewa mkuu mbonaHapana kabisa mkuu. Sijasema kwamba kuna mtu amewahi kukutangaza wewe kama wewe. Ila wapo watoto wanaotangaza ya huko hapa hadharani. Mkuu hapa hapatufai kabisa. Tuhamie PM bora
Hata Mshana Jr anaishi majuutetesi: platinum members wote ni madon alafu wengi wao wanaishi majuu