Masaibu ya members wa JamiiForums

Masaibu ya members wa JamiiForums

Yaani miongoni mwa mitandao ya kijamii yenye impact kubwa kwenye jamii naweza kusema jamii forum ni no1.

Tatizo linaanzia kwa member wake..
Yani humu jamii forum bana kila mtu ana PHD.
Kila mtu ameshakwenda marekani Russia na Ukraine...

Yaani jamii forum kila mtu ana nyumba zaidi ya Moja na anaviwanja goba.

Yaani jamii forum kila mtu ana degree

Yani jamii forum kila mtu ana pesa Ila ajui afanye biashara Gani tena zaidi ya 100m

Yaani jamii forum kila mtu ni daktari na anajua kwa undani masuala ya afya

Kila mtu jamii forum ni mchambuzi wa kisiasa duniani

Yaani jamii forum kila mtu amewai kusafiri mikoa yote.

Kifupi jamii forum wajuaji ni wengi mtu unaweza kuhisi upo nyuma kimaendeleo kwa sababu watu wanaandika kama mabilionea.

Yani jamii forum kila mtu ni tajiri aisee..
Alafu jamii forum Tabaka la chini ni wahitumu wenye degree ndio wanaonekana mabwege

Aisee ni hatari sana.
Umekula maharage ya wapi mpaka yakakuvuruga kiasi hiki! Maana hata hueleweki kama una wivu! Sijui ni kinyongo!
Yaani kama unaumia hivi moyoni! Shida ni nini hasa!

Mbona mimi juzi tu hapa nilikuwa Ukraine kumshawishi Zelensky aache kupokea silaha kutoka wanachama wa NATO, na amenikubalia vizuri tu! Lakini sijajisifia humu!
 
Ndio walewale

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
 
Yaani miongoni mwa mitandao ya kijamii yenye impact kubwa kwenye jamii naweza kusema jamii forum ni no1.

Tatizo linaanzia kwa member wake..
Yani humu jamii forum bana kila mtu ana PHD.
Kila mtu ameshakwenda marekani Russia na Ukraine...

Yaani jamii forum kila mtu ana nyumba zaidi ya Moja na anaviwanja goba.

Yaani jamii forum kila mtu ana degree

Yani jamii forum kila mtu ana pesa Ila ajui afanye biashara Gani tena zaidi ya 100m

Yaani jamii forum kila mtu ni daktari na anajua kwa undani masuala ya afya

Kila mtu jamii forum ni mchambuzi wa kisiasa duniani

Yaani jamii forum kila mtu amewai kusafiri mikoa yote.

Kifupi jamii forum wajuaji ni wengi mtu unaweza kuhisi upo nyuma kimaendeleo kwa sababu watu wanaandika kama mabilionea.

Yani jamii forum kila mtu ni tajiri aisee..
Alafu jamii forum Tabaka la chini ni wahitumu wenye degree ndio wanaonekana mabwege

Aisee ni hatari sana.
Nani alikueleza hayo?Unaongozwa na hisia zako.
 
Nenda kule kwenye jukwaa la Ajira madon wa jf walivyokuwa wanahangaika kujaza fomu ya maombi ya sensa.

Kuna member nilikuwa najua ni mfanyabiashara mkubwa wa magari na biashara nyingine nyingi,,Nashangaa kukuta post ya kuwa hajatumiwa password ya maombi ya sensa na analalamika mtandao unasumbua[emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Yaani miongoni mwa mitandao ya kijamii yenye impact kubwa kwenye jamii naweza kusema jamii forum ni no1.

Tatizo linaanzia kwa member wake..
Yani humu jamii forum bana kila mtu ana PHD.
Kila mtu ameshakwenda marekani Russia na Ukraine...

Yaani jamii forum kila mtu ana nyumba zaidi ya Moja na anaviwanja goba.

Yaani jamii forum kila mtu ana degree

Yani jamii forum kila mtu ana pesa Ila ajui afanye biashara Gani tena zaidi ya 100m

Yaani jamii forum kila mtu ni daktari na anajua kwa undani masuala ya afya

Kila mtu jamii forum ni mchambuzi wa kisiasa duniani

Yaani jamii forum kila mtu amewai kusafiri mikoa yote.

Kifupi jamii forum wajuaji ni wengi mtu unaweza kuhisi upo nyuma kimaendeleo kwa sababu watu wanaandika kama mabilionea.

Yani jamii forum kila mtu ni tajiri aisee..
Alafu jamii forum Tabaka la chini ni wahitumu wenye degree ndio wanaonekana mabwege

Aisee ni hatari sana.
Acha urongo! wale member wanakujaga kuomba misaada humu ina maana huwaoni!
 
Hata sisi waokota makopo lazima tukija hapa tutambe........tukishapima kilo moja 400 na unakilo zako 5,unakunywa Gongo kidogo na kusukutulia na chibuku......nakuja hapa jeiefu natamba tu nimepata namm alcohol sawa na wa Henesi...........
 
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom