Masaibu ya members wa JamiiForums

Masaibu ya members wa JamiiForums

Acha tu watu waigize maana ukiishi uhalisia wako unachekwa balaa. Mimi humu watu huwa wananicheka eti natumia tecno F1 sasa kama ndio simu ninayoimudu nisikomenti jeiefu?? Ujinga tu
 
Nenda kule kwenye jukwaa la Ajira madon wa jf walivyokuwa wanahangaika kujaza fomu ya maombi ya sensa.

Kuna member nilikuwa najua ni mfanyabiashara mkubwa wa magari na biashara nyingine nyingi,,Nashangaa kukuta post ya kuwa hajatumiwa password ya maombi ya sensa na analalamika mtandao unasumbua[emoji23][emoji23]
😂🤣😂
 
Kwann mkuu😆😆😆
Huna pisi yenye kiuno kidogo na ki baby face
Unakwama aiseeeee embu omba connection kwa wenzio
Aiseee mimi ndio wale washamba na waoga haswa. Labda nikuombe wewe mkuu hao wengine hata sijazoeana nao
 
Kwann mkuu[emoji38][emoji38][emoji38]
Huna pisi yenye kiuno kidogo na ki baby face
Unakwama aiseeeee embu omba connection kwa wenzio
Pis kali nyuma ya keyboard lakini katika uhalisia siyo kweli .... kuna dem humu ilitokea tu tulifahamiana mwisho wasiku tuka badilishana namba .... nlipo kutana naye ikabidi nibadili topic kabisa ila kajaliwa tu sauti ....

NB: cjataja jina la mtu [emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom