Masaibu ya members wa JamiiForums

Masaibu ya members wa JamiiForums

Yaani miongoni mwa mitandao ya kijamii yenye impact kubwa kwenye jamii naweza kusema jamii forum ni no1.

Tatizo linaanzia kwa member wake..
Yani humu jamii forum bana kila mtu ana PHD.
Kila mtu ameshakwenda marekani Russia na Ukraine...

Yaani jamii forum kila mtu ana nyumba zaidi ya Moja na anaviwanja goba.

Yaani jamii forum kila mtu ana degree

Yani jamii forum kila mtu ana pesa Ila ajui afanye biashara Gani tena zaidi ya 100m

Yaani jamii forum kila mtu ni daktari na anajua kwa undani masuala ya afya

Kila mtu jamii forum ni mchambuzi wa kisiasa duniani

Yaani jamii forum kila mtu amewai kusafiri mikoa yote.

Kifupi jamii forum wajuaji ni wengi mtu unaweza kuhisi upo nyuma kimaendeleo kwa sababu watu wanaandika kama mabilionea.

Yani jamii forum kila mtu ni tajiri aisee..
Alafu jamii forum Tabaka la chini ni wahitumu wenye degree ndio wanaonekana mabwege

Aisee ni hatari sana.
Na ukitaka kuamini onana nao face to face 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
mnatuonea bana wengine tunajulikana huku hatuna kitu zaid ya mbupu tu
 
Naitwa Toedsloth ni mchuuzi wa iyo bidhaa karibuni wateja sina degree wala gari na sijawai kula tunda kimasihara karibuni wandugu
20220408_124006.jpg
 
Ndio naipambania hapa mkuu
Nikiipata nije kuwaomba wenye migodi yao Geita kazi

Hauna kamgodi hata ka dhahabu mkuu?
Kabla ya kazi nataka nikuoe.
Mambo ya migodi tutaanzisha wote from scratch
 
Back
Top Bottom