Masaibu ya members wa JamiiForums

Masaibu ya members wa JamiiForums

Yaani miongoni mwa mitandao ya kijamii yenye impact kubwa kwenye jamii naweza kusema jamii forum ni no1.

Tatizo linaanzia kwa member wake..
Yani humu jamii forum bana kila mtu ana PHD.
Kila mtu ameshakwenda marekani Russia na Ukraine...

Yaani jamii forum kila mtu ana nyumba zaidi ya Moja na anaviwanja goba.

Yaani jamii forum kila mtu ana degree

Yani jamii forum kila mtu ana pesa Ila ajui afanye biashara Gani tena zaidi ya 100m

Yaani jamii forum kila mtu ni daktari na anajua kwa undani masuala ya afya

Kila mtu jamii forum ni mchambuzi wa kisiasa duniani

Yaani jamii forum kila mtu amewai kusafiri mikoa yote.

Kifupi jamii forum wajuaji ni wengi mtu unaweza kuhisi upo nyuma kimaendeleo kwa sababu watu wanaandika kama mabilionea.

Yani jamii forum kila mtu ni tajiri aisee..
Alafu jamii forum Tabaka la chini ni wahitumu wenye degree ndio wanaonekana mabwege

Aisee ni hatari sana.

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
Usichokijua member wengi wa jamii forum wa mwanzo mwanzo walijiunga wakiwa chuo thats 10 to 15 years ago kabla hawajaanza kuja changanyikeni. So tegemea hizo mbanga. Na kipindi inaanza ilikua maarufu na diaspora kuliko watu wa ndani......

Siku hizi mpaka form 1 yupo jamii forum.
 
Umenipa mwanga.
Tafuta kiwanja nikupe kama zawadi

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
 
Mimi nipo Russia hapa mascow
Nauza magari kwa bei ya jumla
Rakini pia Nina Lima kulimo cha mchele huko morogoro nina heka zaidi ya 10000
Pia ni fundi wa ndege.
Ila nipo ubalozini hapa.
Ila natafuta mtu wa kusimamia migodi yangu geita vipii unaweza?

me nauza mafuta ya ndege na kakampun kangu kako Saudi Arabia huko na kengine kako Russia, anyway karibu mafuta bwana mdogo.
 
Mimi nipo Russia hapa mascow
Nauza magari kwa bei ya jumla
Rakini pia Nina Lima kulimo cha mchele huko morogoro nina heka zaidi ya 10000
Pia ni fundi wa ndege.
Ila nipo ubalozini hapa.
Ila natafuta mtu wa kusimamia migodi yangu geita vipii unaweza?

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
Mkuu naomba nisimamie migodi yako geita
Aiseeeeeeeee😆😆😆😆
 
Yaani miongoni mwa mitandao ya kijamii yenye impact kubwa kwenye jamii naweza kusema jamii forum ni no1.

Tatizo linaanzia kwa member wake..
Yani humu jamii forum bana kila mtu ana PHD.
Kila mtu ameshakwenda marekani Russia na Ukraine...

Yaani jamii forum kila mtu ana nyumba zaidi ya Moja na anaviwanja goba.

Yaani jamii forum kila mtu ana degree

Yani jamii forum kila mtu ana pesa Ila ajui afanye biashara Gani tena zaidi ya 100m

Yaani jamii forum kila mtu ni daktari na anajua kwa undani masuala ya afya

Kila mtu jamii forum ni mchambuzi wa kisiasa duniani

Yaani jamii forum kila mtu amewai kusafiri mikoa yote.

Kifupi jamii forum wajuaji ni wengi mtu unaweza kuhisi upo nyuma kimaendeleo kwa sababu watu wanaandika kama mabilionea.

Yani jamii forum kila mtu ni tajiri aisee..
Alafu jamii forum Tabaka la chini ni wahitumu wenye degree ndio wanaonekana mabwege

Aisee ni hatari sana.

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
Sina hela
Nichangieni basi
 
Nenda kule kwenye jukwaa la Ajira madon wa jf walivyokuwa wanahangaika kujaza fomu ya maombi ya sensa.

Kuna member nilikuwa najua ni mfanyabiashara mkubwa wa magari na biashara nyingine nyingi,,Nashangaa kukuta post ya kuwa hajatumiwa password ya maombi ya sensa na analalamika mtandao unasumbua[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahahahaaaa umenivunja mbavu

Back
Top Bottom