Masaibu ya members wa JamiiForums

Masaibu ya members wa JamiiForums

Nenda kule kwenye jukwaa la Ajira madon wa jf walivyokuwa wanahangaika kujaza fomu ya maombi ya sensa.

Kuna member nilikuwa najua ni mfanyabiashara mkubwa wa magari na biashara nyingine nyingi,,Nashangaa kukuta post ya kuwa hajatumiwa password ya maombi ya sensa na analalamika mtandao unasumbua[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nyie watu khaaaah
 
Nenda kule kwenye jukwaa la Ajira madon wa jf walivyokuwa wanahangaika kujaza fomu ya maombi ya sensa.

Kuna member nilikuwa najua ni mfanyabiashara mkubwa wa magari na biashara nyingine nyingi,,Nashangaa kukuta post ya kuwa hajatumiwa password ya maombi ya sensa na analalamika mtandao unasumbua[emoji23][emoji23]
Dahh...nimecheka kwa sauti
 
Zamani ilikuwa sawa, kama alivyosema membe mmoja hapo juu. Ila siku hizi wengi tunafantasize tu hakuna lolote.

Ukiingia kichwa kichwa humu unaweza jiona si lolote si chochote
 
Yaani miongoni mwa mitandao ya kijamii yenye impact kubwa kwenye jamii naweza kusema jamii forum ni no1.

Tatizo linaanzia kwa member wake..
Yani humu jamii forum bana kila mtu ana PHD.
Kila mtu ameshakwenda marekani Russia na Ukraine...

Yaani jamii forum kila mtu ana nyumba zaidi ya Moja na anaviwanja goba.

Yaani jamii forum kila mtu ana degree

Yani jamii forum kila mtu ana pesa Ila ajui afanye biashara Gani tena zaidi ya 100m

Yaani jamii forum kila mtu ni daktari na anajua kwa undani masuala ya afya

Kila mtu jamii forum ni mchambuzi wa kisiasa duniani

Yaani jamii forum kila mtu amewai kusafiri mikoa yote.

Kifupi jamii forum wajuaji ni wengi mtu unaweza kuhisi upo nyuma kimaendeleo kwa sababu watu wanaandika kama mabilionea.

Yani jamii forum kila mtu ni tajiri aisee..
Alafu jamii forum Tabaka la chini ni wahitumu wenye degree ndio wanaonekana mabwege

Aisee ni hatari sana.

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
Umejaribu instagram..kama umeenda huko basi unajua kabisa huku jf unaongea uongo tuu..au unapitaga jukwaa lipi..soma vizuri maisha ya wengi humu ni magumu but wana adia nyingi na nzuri tu..kuna uzi kibao zinaelezea hali ilivyongumu kwa watu..jukwaa la ajira.. jukwaa la inteligence umepita?? Usikae sana kwenye majukwaa ya umbea na udaku.tunahali mbaya humu jf ndio pa kujifariji...nenda insta watu wanamiliki ptivate jet usiku tunakutana nao rozana anakunywa kandoro tukigombania daladala
 
Nenda kule kwenye jukwaa la Ajira madon wa jf walivyokuwa wanahangaika kujaza fomu ya maombi ya sensa.

Kuna member nilikuwa najua ni mfanyabiashara mkubwa wa magari na biashara nyingine nyingi,,Nashangaa kukuta post ya kuwa hajatumiwa password ya maombi ya sensa na analalamika mtandao unasumbua[emoji23][emoji23]
Jamaa anaepondea magari ya wenzie anaitwa j,,,,,,
 
Umejaribu instagram..kama umeenda huko basi unajua kabisa huku jf unaongea uongo tuu..au unapitaga jukwaa lipi..soma vizuri maisha ya wengi humu ni magumu but wana adia nyingi na nzuri tu..kuna uzi kibao zinaelezea hali ilivyongumu kwa watu..jukwaa la ajira.. jukwaa la inteligence umepita?? Usikae sana kwenye majukwaa ya umbea na udaku.tunahali mbaya humu jf ndio pa kujifariji...nenda insta watu wanamiliki ptivate jet usiku tunakutana nao rozana anakunywa kandoro tukigombania daladala
Sawa nimekuelewa

Back
Top Bottom