Masaibu ya members wa JamiiForums

Masaibu ya members wa JamiiForums

Yaani miongoni mwa mitandao ya kijamii yenye impact kubwa kwenye jamii naweza kusema jamii forum ni no1.

Tatizo linaanzia kwa member wake..
Yani humu jamii forum bana kila mtu ana PHD.
Kila mtu ameshakwenda marekani Russia na Ukraine...

Yaani jamii forum kila mtu ana nyumba zaidi ya Moja na anaviwanja goba.

Yaani jamii forum kila mtu ana degree

Yani jamii forum kila mtu ana pesa Ila ajui afanye biashara Gani tena zaidi ya 100m

Yaani jamii forum kila mtu ni daktari na anajua kwa undani masuala ya afya

Kila mtu jamii forum ni mchambuzi wa kisiasa duniani

Yaani jamii forum kila mtu amewai kusafiri mikoa yote.

Kifupi jamii forum wajuaji ni wengi mtu unaweza kuhisi upo nyuma kimaendeleo kwa sababu watu wanaandika kama mabilionea.

Yani jamii forum kila mtu ni tajiri aisee..
Alafu jamii forum Tabaka la chini ni wahitumu wenye degree ndio wanaonekana mabwege

Aisee ni hatari sana.
Na wewe upo hapa JF, je! una hela? Una PHD? etc kama huna kati ya ulivyovitaja hapo juu basi ONDOA MANENO, KILA MTU ANA HIKI AU KILE
 
Pis kali nyuma ya keyboard lakini katika uhalisia siyo kweli .... kuna dem humu ilitokea tu tulifahamiana mwisho wasiku tuka badilishana namba .... nlipo kutana naye ikabidi nibadili topic kabisa ila kajaliwa tu sauti ....

NB: cjataja jina la mtu [emoji119][emoji119]
Mbona kama umekuja kunisema humu ndani mkuu😆😆😆😆
Ubaya ni kwamba mnaanza kubebishana wakati hamjuani una imagine tu yuko hivi wakati sivyo😆😆pole mkuu
Jitahidi utafute pisi kali kama wenzio
 
Na wewe upo hapa JF, je! una hela? Una PHD? etc kama huna kati ya ulivyovitaja hapo juu basi ONDOA MANENO, KILA MTU ANA HIKI AU KILE
Nina PHD nilisoma Harvard university mwaka 2007

Hela ndio usiseme juzi juzi nimewekeza UTT Amis zaidi ya 16537 trillions..

Sijajua wewe.
Alafu nilikuwa nauliza biashara Gani inatoka zaidi eneo unaloishi mana nina 7bilion nataka kuwekeza Ila Sina msimamizi.

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
 
Aiseee mimi ndio wale washamba na waoga haswa. Labda nikuombe wewe mkuu hao wengine hata sijazoeana nao
Ili uje uniseme huku mkuu kwamba me sio pisi kali😆😆😆😆
Hapana aiseeee tafuta wa mtaani kwako au IG
 
😂😂😂😂😂😂😂JF hii
Nenda kule kwenye jukwaa la Ajira madon wa jf walivyokuwa wanahangaika kujaza fomu ya maombi ya sensa.

Kuna member nilikuwa najua ni mfanyabiashara mkubwa wa magari na biashara nyingine nyingi,,Nashangaa kukuta post ya kuwa hajatumiwa password ya maombi ya sensa na analalamika mtandao unasumbua[emoji23][emoji23]
 
Yaani miongoni mwa mitandao ya kijamii yenye impact kubwa kwenye jamii naweza kusema jamii forum ni no1.

Tatizo linaanzia kwa member wake..
Yani humu jamii forum bana kila mtu ana PHD.
Kila mtu ameshakwenda marekani Russia na Ukraine...

Yaani jamii forum kila mtu ana nyumba zaidi ya Moja na anaviwanja goba.

Yaani jamii forum kila mtu ana degree

Yani jamii forum kila mtu ana pesa Ila ajui afanye biashara Gani tena zaidi ya 100m

Yaani jamii forum kila mtu ni daktari na anajua kwa undani masuala ya afya

Kila mtu jamii forum ni mchambuzi wa kisiasa duniani

Yaani jamii forum kila mtu amewai kusafiri mikoa yote.

Kifupi jamii forum wajuaji ni wengi mtu unaweza kuhisi upo nyuma kimaendeleo kwa sababu watu wanaandika kama mabilionea.

Yani jamii forum kila mtu ni tajiri aisee..
Alafu jamii forum Tabaka la chini ni wahitumu wenye degree ndio wanaonekana mabwege

Aisee ni hatari sana.
Huku jamii forum kila mtu atajifanya anajua kila kitu ila wakifika kwenye maswala ya uganga,uchawi,ramli wanamuachia Bujibuji Simba Nyamaume na Mshana Jr 😂😂😂
 
Ili uje uniseme huku mkuu kwamba me sio pisi kali😆😆😆😆
Hapana aiseeee tafuta wa mtaani kwako au IG
Mbona umenza kuniwazia mabaya mapema?? Nikuseme ili iweje?? Sisi wengine tumekuwa akili sio kama hivi vitoto humu. Acha wasiwasi mkuu.
Usiwe negative kwa kila mtu
 
Sema jf ukibahatisha pisi! ni pisi kweli kuna moja hyo nliona picha yake,, nataka kuzama pm,, nkajiuliza oi "greg una paper?" jibu likja no basi "operation pm" ikawa aborted
 
Mbona malofa tupo humu haha

Kuna siku nlitupia picha humu nko kwenye bodaboda/mwendokasi
Wacha nisilibiwe ...haha

Ova
 
Back
Top Bottom