Kichupa Steven
Member
- Jul 4, 2019
- 10
- 11
Habari viongozi
Nahitaji mtaalamu wa sheria za kazi Kwa watumishi wa Umma kunasuala nahtaji Ushauri tafadhali
Ni kwamba kijana mmoja alipata ajira ya serikalini mwaka 2014 akafanya kazi hadi April 2016 akaandika barua na kuacha kazi akaondoka kazini akafanya shughuli zake
Mwaka 2019 akaomba tena kazi hiyo hiyo serikalini na akapangiwa halmashauri tofauti na alipo kuwa awali hadi sasa yupo kazini lakini Wale maafisa wahusikanao na watumishi wanamwambia Kwa mdomo kuwa asiendelee kufanya kazi sheria ipo vipi hapa?
Ni miezi miwili sasa hajalipwa stahiki zozote je anaweza lipwa stahiki zake kweli? Hapo alipo ajiriwa mwaka 2019 au afungashe vyake awahi kitaa kupambana na Umachinga?