Masaada wa sheria za kazi Utumishi wa Umma

Kichupa Steven

Kichupa Steven

New Member
Joined
Jul 4, 2019
Messages
1
Points
20
Kichupa Steven

Kichupa Steven

New Member
Joined Jul 4, 2019
1 20
Habari viongozi
Nahitaji mtaalamu wa sheria za kazi Kwa watumishi wa Umma kunasuala nahtaji Ushauri tafadhali
Ni kwamba kijana mmoja alipata ajira ya serikalini mwaka 2014 akafanya kazi hadi April 2016 akaandika barua na kuacha kazi akaondoka kazini akafanya shughuli zake

Mwaka 2019 akaomba tena kazi hiyo hiyo serikalini na akapangiwa halmashauri tofauti na alipo kuwa awali hadi sasa yupo kazini lakini Wale maafisa wahusikanao na watumishi wanamwambia Kwa mdomo kuwa asiendelee kufanya kazi sheria ipo vipi hapa?

Ni miezi miwili sasa hajalipwa stahiki zozote je anaweza lipwa stahiki zake kweli? Hapo alipo ajiriwa mwaka 2019 au afungashe vyake awahi kitaa kupambana na Umachinga?
 
Jaffary

Jaffary

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Messages
782
Points
250
Jaffary

Jaffary

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2011
782 250
Hu
Habari viongozi
Nahitaji mtaalamu wa sheria za kazi Kwa watumishi wa Umma kunasuala nahtaji Ushauri tafadhali
Ni kwamba kijana mmoja alipata ajira ya serikalini mwaka 2014 akafanya kazi hadi April 2016 akaandika barua na kuacha kazi akaondoka kazini akafanya shughuli zake

Mwaka 2019 akaomba tena kazi hiyo hiyo serikalini na akapangiwa halmashauri tofauti na alipo kuwa awali hadi sasa yupo kazini lakini Wale maafisa wahusikanao na watumishi wanamwambia Kwa mdomo kuwa asiendelee kufanya kazi sheria ipo vipi hapa?

Ni miezi miwili sasa hajalipwa stahiki zozote je anaweza lipwa stahiki zake kweli? Hapo alipo ajiriwa mwaka 2019 au afungashe vyake awahi kitaa kupambana na Umachinga?
Hujaweka wazi sababu za kuacha awali na sababu alizopewa na hao maafisa unaosema. Weka bayana. Pia cheo/nafasi yake! Angelikuwa anarudi katika nafasi ile aliyoiacha bila mchakato wa ajira kufanyika, mfano kuomba upya, kufanyiwa usaili n.k hapo ingemlazimu kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi, but kama aliacha kwa sababu zinazoeleweka, basi anakuwa huru kuomba nafasi yoyote kulingana na sifa alizonazo
 
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,587
Points
2,000
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,587 2,000
Hapo ni kuomba kibali kwa katibu mkuu kiongozi hawezi pata mshahara, hiyo ndio LAWSON.
 
Forum statistics

Threads 1,315,686
Members 505,292
Posts 31,866,917
Top