Masaada wa sheria za kazi Utumishi wa Umma

Jul 4, 2019
10
11
Habari viongozi
Nahitaji mtaalamu wa sheria za kazi Kwa watumishi wa Umma kunasuala nahtaji Ushauri tafadhali
Ni kwamba kijana mmoja alipata ajira ya serikalini mwaka 2014 akafanya kazi hadi April 2016 akaandika barua na kuacha kazi akaondoka kazini akafanya shughuli zake

Mwaka 2019 akaomba tena kazi hiyo hiyo serikalini na akapangiwa halmashauri tofauti na alipo kuwa awali hadi sasa yupo kazini lakini Wale maafisa wahusikanao na watumishi wanamwambia Kwa mdomo kuwa asiendelee kufanya kazi sheria ipo vipi hapa?

Ni miezi miwili sasa hajalipwa stahiki zozote je anaweza lipwa stahiki zake kweli? Hapo alipo ajiriwa mwaka 2019 au afungashe vyake awahi kitaa kupambana na Umachinga?
 
Hu

Hujaweka wazi sababu za kuacha awali na sababu alizopewa na hao maafisa unaosema. Weka bayana. Pia cheo/nafasi yake! Angelikuwa anarudi katika nafasi ile aliyoiacha bila mchakato wa ajira kufanyika, mfano kuomba upya, kufanyiwa usaili n.k hapo ingemlazimu kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi, but kama aliacha kwa sababu zinazoeleweka, basi anakuwa huru kuomba nafasi yoyote kulingana na sifa alizonazo
 
Hapo ni kuomba kibali kwa katibu mkuu kiongozi hawezi pata mshahara, hiyo ndio LAWSON.
 
Habari viongozi
Nahitaji mtaalamu wa sheria za kazi Kwa watumishi wa Umma kunasuala nahtaji Ushauri tafadhali
Ni kwamba kijana mmoja alipata ajira ya serikalini mwaka 2014 akafanya kazi hadi April 2016 akaandika barua na kuacha kazi akaondoka kazini akafanya shughuli zake

Mwaka 2019 akaomba tena kazi hiyo hiyo serikalini na akapangiwa halmashauri tofauti na alipo kuwa awali hadi sasa yupo kazini lakini Wale maafisa wahusikanao na watumishi wanamwambia Kwa mdomo kuwa asiendelee kufanya kazi sheria ipo vipi hapa?

Ni miezi miwili sasa hajalipwa stahiki zozote je anaweza lipwa stahiki zake kweli? Hapo alipo ajiriwa mwaka 2019 au afungashe vyake awahi kitaa kupambana na Umachinga?
Bila shaka muhusika ni mwalimu,mana mara nyingi ndio wenye hii tabia ya kufanya maamuzi kwa kufuata mkumbo. Anaajiriwa, anafanya kazi miaka miwili, anadanganywa na wenzake achukue mkopo aache kazi akafanye biashara. Anachukua mkopo na kutokomea kwao, baada ya miaka miwili kafilisika, pesa za mkopo zimeisha, maisha mtaani magumu , anachanganyikiwa na kutafuta tena kazi.

Anaona tangazo la ajira za walimu, anatuma vyeti, TAMISEMI inampangia kituo cha kazi halmashauri tofauti na ile ya kwanza. Anaripoti kazini, HRO anaingiza taarifa zake kwenye mfumo wa LAWSON, mfumo unamtema na kutoa taarifa kuwa mhusika alishawahi kuacha kazi serikalini.

HRO anamweleza mhusika kuwa kwa mujibu wa taratibu na kanuni, ukishaacha kazi serikalini huwezi kuajiriwa tena serikalini, rudi nyumbani tu ukalime, kijana anakasirika na kuanza kumlaumu HRO kuwa ni mnoko anambania. Anakuja jamiiforums, anafungua uzi kuomba ushauri!!!

Ni kwamba, ukishaacha kazi serikalini, huwezi kuajiriwa tena serikalini unless upate kibali maalum toka kwa Katibu Mkuu Kiongozi. Na huyo katibu mkuu hana huo muda wa kutoa vibali kwa watu waloamua kuacha kazi kwa utashi wao bila sababu za msingi.

Kwa kifupi, muhusika arudi nyumbani tu akafanye mambo mengine!!
 
Hu

Hujaweka wazi sababu za kuacha awali na sababu alizopewa na hao maafisa unaosema. Weka bayana. Pia cheo/nafasi yake! Angelikuwa anarudi katika nafasi ile aliyoiacha bila mchakato wa ajira kufanyika, mfano kuomba upya, kufanyiwa usaili n.k hapo ingemlazimu kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi, but kama aliacha kwa sababu zinazoeleweka, basi anakuwa huru kuomba nafasi yoyote kulingana na sifa alizonazo
Ndg naomba msaada kwa niaba ya jamaa yangu mwl aliyeacha kazi na kufanya shughuli binafsi lakini ahughulizake hazikwenda sawa na aliajiriwa Mara ya kwanza mwaka 2014 akaondoka mwaka 2015 kwa kuandika Barua ya kuacha kazi lakini mwaka 2019 aliomba ajira kwa tangazo la TAMISEMI akapangwa halmashauri tofauti na alipokuwa awali DHRO hajalipa stahiki yoyote ile tangu mwezi may 2019 hadi sasa je ndg yangu Huyo afanye maamuzi yapi Bado yupo kwenye kituo alichopangiwa
 
Aombe kibali cha kutumia check no ya zamani Kwa katibu mkuu kiongozi.
 
Back
Top Bottom