PostGE2025 Mary Chatanda: Samia angenipa nchi dakika moja, ningeimaliza CHADEMA

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hawa ndio wanafanya watanzania wamchukie Rais Samia, kuongoza nchi kwa zama hizi inahitaji hekima ya mfalme Suleiman, SIYO mabavu
Na ukiwa kiongozi ujue huwezi pendwa na kila mtu hata ungewapa pesa bado watakuchukia,
Samia anaoneka rais mbaya ktk historia ya Tanzania kwa sababu ya ushauri wa Viongozi kama huyu mama
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.

Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.

Propaganda uchwara tu hizo. Kama kutumika ni wao bdiyo wanaotumiwa bila kujua.

Chadema wameshusha NYOMI sasa wameanza kupanic. Vile vitu vyenye ncha kali wanashindwa kuvitumia. Leo wamezuia mkutano wa Chadema.
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.

Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.

Huyu barmaid anamtisha nani anachoweza ni kufungua beer na kuvua chupi tu.
 
Aya sasa msajiri wa vyama vya siasa anaingia mtegoni tena tuone apo atasemaje
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.

Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.

Another unhinged bi+ch. Anadhani kuongoza nchi ni rahisi kama kunyonya dushelele la basha wake!
 
Uzuri kuna vitu huwa havifutiki, ukitaka kufuta unafutika mwenyewe
 
Mkuu naona leo umekasirika na kutoka nje ya mada...
Kumbe hata wewe unakasirika 😀 😀
hiyo kukasirika ndio nini kwanza gentleman?
labada tuanzia hapo kwanza?

ni chakula au matunda?
hebu tueleweshane kwanza plz:BASED:
 
Back
Top Bottom